Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fans Chelsea manakimbia sna thred yenu mnakesha kwa wenzenu haya ssa leo mje mjadili mumetoa sare na timu ya hovyo kabsa
 
Amkeni kenge nyie ,Kwan hamjui mmechomolewa huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Game ya leo tumepata nafasi nying za kufunga, ila tumeshindwa kuzitumia,
Tumecheza vizuri sana nafas tumetengeneza wachezaj wetu wakashindwa kuzimalizia vizuri,

Tulikuwa tunauwezo wa kuimaliza game ndan ya dakik 25 za kipindi cha pili

Tumepoteza pts 2 leo, tunaenda international break tukirudi tuna game na leicester and man utd,
 
This is epl kenge nyie .....

Hao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.

Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.

Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?[emoji3]
 
Game ya leo tumepata nafasi nying za kufunga, ila tumeshindwa kuzitumia,
Tumecheza vizuri sana nafas tumetengeneza wachezaj wetu wakashindwa kuzimalizia vizuri,

Tulikuwa tunauwezo wa kuimaliza game ndan ya dakik 25 za kipindi cha pili

Tumepoteza pts 2 leo, tunaenda international break tukirudi tuna game na leicester and man utd,

Poleni sana rent boyz
 
HONGERENI THE BLUES KWA SARE [emoji1666]

[emoji117] Tulistahili kushinda kwa jinsi tulivyotawala mchezo muda mrefu.

[emoji117] Tulipata nafasi nyingi nzuri za kufunga magoli bahati mbaya hazikutumika vizuri.

[emoji117] Tumefungwa goli la kushtukizwa/Kujisahau ambalo mabeki wetu walidhani ni mpira wa offside.

[emoji117] Point moja muhimu kwenye mbio za kusaka ubingwa, mapambano yaendelee.

London is BLUE
Hii point 1 sio ya muhimu, ukiangalia tulikuwa tunauwezo kuongeza gap la point kati yetu na city&liverpool, huku ukiangalia tuna game ngumu mbili zijazo dhid ya Leicester na man utd,
 
HONGERENI THE BLUES KWA SARE [emoji1666]

[emoji117] Tulistahili kushinda kwa jinsi tulivyotawala mchezo muda mrefu.

[emoji117] Tulipata nafasi nyingi nzuri za kufunga magoli bahati mbaya hazikutumika vizuri.

[emoji117] Tumefungwa goli la kushtukizwa/Kujisahau ambalo mabeki wetu walidhani ni mpira wa offside.

[emoji117] Point moja muhimu kwenye mbio za kusaka ubingwa, mapambano yaendelee.

London is BLUE
Rose Berkley ametu kosti sanaa kwasababu goli alilokosa hakustaili kulikosa, kama alivyo tukosti kwenye mpira wa uefa na velencia alivo kosa panelty.......lakini tukubali ame improve sanaa, katika kucheza kama kiungo
 
Hata kule hayapo yamekimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani kule group huwa halipoi hata itokee tufungwe sasa yenyewe ku draw tu yamekimbia kuanzia group lao, la liverpool, man u hadi man city [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom