Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe ulikua unajua ni NBC?

Timu yako ikipewa point 6 sa bure itaikuta Chelsea kileleni?

nyie jamaa wa THE BLAUZI mna mikwara sana asee!, au hujui hesabu, LETA IZO POINT ZAKO SITA HUONE SIO KUFIKIWA TU NA KUPITWA UNAPITWA VIZURI KABISA, hii ni epl sio ONE-TEAM RACE kama Germany na France, pale England hizo tambo zako hazifai kijana.
FireShot Capture 063 - ENGLAND_ Premier League - www.flashscore.com.png
 
Kwahiyo ni bora tungefungwa kuliko kupata hiyo point 1?

Uwezo wa kuongeza gap utoke wapi sasa?

Wakati uwezo wetu wa leo umeishia kupata point 1.

Tuacheni kupiga ramli ya kushinda mechi za mbele wakati mechi ya sasa huna uhakika wa kushinda.

Na ikumbukwe washambuliaji wetu muhimu (Mount, Werner, Lukaku) + Kovacic wapo nje majeruhi huo uwezo wa kushinda asilimia 100 unatoka wapi?
Kwa game ya leo ndio tunaona umuhim wa lukaki kwa namna ya chance tulizokuwa tunatengeneza

Kwa jinsi tulivyocheza tunapaswa kutoifurahia hiyo point 1 mkuu, finishing yetu ndio imetucost leo, odoi,barkley, wote hawa wamepata chance za kumaliza game ila wameshindwa kuzitumia,

Game ilivyokuwa dalili ya draw haikuwepo kabisa,
 
Hao rent boys wengi wao hawajui mpira yaani wakikaa juu pale kwenye ligi Tayari wanakimbilia jukwaa la Liverpool kwenda kulingishia kwamba wanachukua ubingwa.

Epl sio ligi ya kitoto hiyo unakuja na matokeo yako utaumbuka.

Bado sijui watakuwa na maneno yao yale tunachukua ubingwa au sijui watakuwa wamebadilisha?
Subiri westham akufanye vibaya leo
 
Jana Chelsea walicheza vizuri ila mbele tumemmiss Werner na Lukaku
Zile kosa kosa za jana angekuwepo Lukaku mbili zingeingia
Na magoli zaidi yangeingia kwa sababu mbele kungekuwa na ubize fulani. Sasa Havertz, Bar5kley na Odoi ni Tofauti na angekuwa Werner, Lukaku na Mount
 
Reece James has been ranked as the Premier League's second best goal creator so far this season behind only former Blue Mohamed Salah. Goal contribution per 90 minutes = 1.47, Salah 1.60
065ed5a07812dc1eba51ae7861df7611a8cc48ef.jpg
 
Jana Chelsea walicheza vizuri ila mbele tumemmiss Werner na Lukaku
Zile kosa kosa za jana angekuwepo Lukaku mbili zingeingia
Na magoli zaidi yangeingia kwa sababu mbele kungekuwa na ubize fulani. Sasa Havertz, Bar5kley na Odoi ni Tofauti na angekuwa Werner, Lukaku na Mount
Ila barkley kaimprove sana sahivi, kwa mechi chache alizocheza ameonesha hicho kitu
 
Majeruhi wetu wanarudi lini kikosini?

Kovacic
Werner
Mount
Lukaku

Kama watachelewa kurudi kikosini naona tukidondosha points dhidi ya Leicester, na mbaya zaidi naona Nyumbu wakizindukia kwetu.
Leicester city msimu hii ni takataka tu wako very weak, labda tuwe kwenye form mbaya.
Mount yuko fit na jana aliingia kucheza
Wengine hadi November 20
 
Sio uoga mkuu.

Kuwategemea Odoi, Barkely, Cheek wakupe matokeo, tegemea kuwa disappointed muda wowote.

Form is temporary but class is permanent.
Kweli odoi kuna nafasi alikosa kupiga mkwaju unao eleweka ili afunge na barkery hivo hivo alikosa mara kibao
 
Sio uoga mkuu.

Kuwategemea Odoi, Barkely, Cheek wakupe matokeo, tegemea kuwa disappointed muda wowote.

Form is temporary but class is permanent.
Basi km ndo hvyo usiogope kufungwa na hizo timu Bali uogope kukosa kuibuka na ushindi tukiwa na hao wachezaji kutokana n chance tunazotengeneza.....uoga wako ungemake sense zaidi km tungekuwa na beki mbovu au km tungewakosa kina rudiger n Silva na Mendy n christensen
 
This is epl kenge nyie ...

Keep watching ...

Wazoefu tu ndio tunaenda kuchukua epl
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom