Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utachambua Nini ikiwa team inafanya vizuri ushindi umekuwa jadi yetu sio jambo lakushangaza kama wenzetu Manyumbu na Arsenane bila kusahau kocha wetu akosei kwenye selection ukichanganya na ufundi wake wa kusema mchezo na kufanya sub sahihi kwa wakati sahihi ndio kabisa.Ungekuwa wewe ndio mshabiki wa Chelsea kwa style hiyo ungechambua Nini hapo?TT sio sosha
Hakuna jipya wakati munatakiwa mujadili kwanini strikers wenu hawafanyi wajibu wao au mmekubali Rukaku mmepigwa
 
Hakuna jipya wakati munatakiwa mujadili kwanini strikers wenu hawafanyi wajibu wao au mmekubali Rukaku mmepigwa
Timu inescore goal za kutosha...

Suala la Lukaku kutofanya wajibu hilo halituhusu as long as kila match tunashinda goal za kutosha hiyo inatosha sana.

Imagine timu ina wastani wa goal 2.63 per game lakini pia ina concede 0.3 goal per game halafu mnakaa mnajadili nini?

Sisi tunashinda ila hatijidai.
 
Huku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine
Na kweli kwa Jinsi Chelsea ilivyo sasa huku acha tufanye ni kijiwe cha kuja Kupongezana tuu. Uchambuzi wa Mwisho aliumaliza Kocha wetu TT kwa kuutangazia Ulimwengu anatengeneza Timu ambayo hakuna Timu itakayopenda kukutana na Chelsea.

Mimi nashauri Uchambuzi wawe wanafanya Timu pinzani tunazokutana nazo ili wachambue watatumia Mbinu gani kukabiliana na Chelsea hii ya sasa.
 
Chalobar amesaini mkataba mpya wa miaka mitano (2026)
20211104_202220.jpg
 
Mhhhh hyo nayo shida ssa lukaku kaumia kdgo tu I.ekuwa ishu ya mwez mzima na timo nae ishu mwez mzima kaaah hao wachezaji ssa tumepigwa inakera
Hii trick tuu ametumia hao wachezaji wasiende kwenye timu za taifa, sababu lukaku ameshaanza mazoezi tangu alhamis na tukiludi inatakiwa tuwe on fire maana tunamechi ngumu kidg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom