Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu hbr zenu?

Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!

Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!

Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....

Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....

Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!

(1) Chelsea

(2) Liverpool

(3)Man City

(4) Spurs

Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
 
Nyumbu na Ronaldo on fore na Kavani na Magwaya na Fernandos wote onfire mnawaweka 5/6
Manure ni title contender bana
 
Man U hana lolote mkuu! Na jumamosi anafungwa na Man City ndio anazidi kupotea kabisa! Yaani msimu huu hamalizi ndani ya top four!
 
Hakuna shida tunaye kisiki Eric Baily
Veran kapata Harmstring injury atakosa mwezi mzima zikiwemo mechi za Arsenal, Chelsea na City na zote hizo mnafungwa. Hata top 6 mtaisikia kwenye bomba
 
Wakuu hbr zenu?

Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!

Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!

Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....

Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....

Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!

(1) Chelsea

(2) Liverpool

(3)Man City

(4) Spurs

Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
Umebakiza akili ya kunyea tu, nakushauri wahi milembe.
 
Niliwamiss sana Nilimiss sana uchambuzi wa Huku..... The Blues Daima. Najivunia kuwa Chelsea
 
Huku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine

Mambo yote yaishia uwanjani...

Humu tunakuja kupeana tu salamu hamna jipya...

Tunashinda ila hata hatujidai.

Hivi unadhani jukwaa lenu au la nyumbu ingekuwa ndio mnaongoza ligi lingepoa hivi?
 
Huku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine
Utachambua Nini ikiwa team inafanya vizuri ushindi umekuwa jadi yetu sio jambo lakushangaza kama wenzetu Manyumbu na Arsenane bila kusahau kocha wetu akosei kwenye selection ukichanganya na ufundi wake wa kusema mchezo na kufanya sub sahihi kwa wakati sahihi ndio kabisa.Ungekuwa wewe ndio mshabiki wa Chelsea kwa style hiyo ungechambua Nini hapo?TT sio sosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom