Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In the first place hii sio analysis
In the second place endelea kupuuza kwa sababu hutakaa unielewe na hata hivyo kwani maoni ya kila mtu unafuatilia, so what?
Kwenye Pre-season huyu dogo alikuwa anachezeshwa kiungo Cha chini na TT nazani hapa ndio alipomkosea huyu dogo hata Lotfus Cheeck pia kuwekwa kiungo Cha chini si sehemu yake japo anakiwasha siku TT akajiroga akampanga kiungo Cha juu ndio atajua utamu wake
 
Hiyo ndiyo ratiba yetu ndani ya mwezi wa kumi (October)

Jumamosi tarehe 2

Chelsea 🆚 Southampton (ligi kuu England)

Jumamosi tarehe 16

BrentFord 🆚 Chelsea (ligi kuu England)

Jumatano tarehe 20

Chelsea 🆚 Malmo (Uefa Champions League)

Jumamosi tarehe 23

Chelsea 🆚 Norwich (Ligi kuu England).

Jumanne tarehe 26

Chelsea 🆚 Southampton (Carabao Cup).

Vipi unaunaje huu mwezi tutakwamia wapi kwenye ligi mwezi ulioisha tulidondosha point mbili kwa Liverpool nahisi ndo point moja iliyokua na manufaa zaid mwezi huu na tulidondosha tatu zote kwa City lakini mwezi umeisha tukiwa nafas ya tatu kwangu mimi mwezi wa kwanza wa ligi tumewin,

Carabao cup kwa tabu sanaa tulifanikiwa kuingia robo fainali ambayo tumepangiwa na Southampton ipi nafas yetu kwenye Carabao mwezi huu? Kwagu mimi mwezi uliopita Kwenye Carabao tumewin,

Champions League Mwezi uliopita tulidondosha Point kwa Juventus hali ya hewa ikachafuka lakini mwezi umeisha tukiwa nafas ya 2 baada ya game mbili, Kwa mwezi uliopita pia naona tumewin Kwan tuna uwezekano mkubwa wa kusogea mbele

Mwezi uliopita ulikua ni mwezi wenye ratiba ngumu sana kwetu lakini tumefanikiwa kupata matokeo chanya zaidi huu mwezi mbona kama sioni tukipoteza game yoyote?
Tukumbushane maana mwezi ndio umeisha ivoo na hatujapoteza game yoyote Chelsea Fans & Haters what's ur thoughts ndan ya November?
 
Jorginho: 🗣️🎙️

"You know when I was five, my dad had asked me what I wanted to be when I grew up. I said, “A football player.” He said, “But being a football player is not just the stuff you see on TV. They will hurt you, they will steal from you, they will make you cry. You will want to go home. You will want to give up. Now, what do you want to be when you grow up?”

I said, “A footballer player.”

I was prepared to do anything. But a few weeks after the cleaning lady had quit, my mum came to visit me at the camp. She went to the bathroom. When she came back, she said, “Get your things. We’re going home.”

I said, “Mum, I’m not going.”

She said, “I know this is your dream. But my son is not going to live like this.”

I told her that if she forced me to go home, and I didn’t become a football player, I would blame her for the rest of my life.

She said, “No, wait … please don’t say that.”

Then she began to cry.

I said, “This is my chance. I don’t care what I have to suffer. I can eat the same food for 10 days. I can go to a dirty toilet. This is nothing!”

She just looked at me.

I said, “I’m serious.”

Then she left in tears.

That was one of the hardest moments of my life. You have to understand what this meant to her. She isn’t one of those mums who don’t get football. No, my friend. She’s the one who gave me all my talent. I know Dad gets angry when I say that, but, Dad, you know it’s true!! She’s from a family of footballers, and she plays to this day. When I was five, she would play ball with me on the beach near our house. We would just have fun, and if I made an error, she would say, “Don’t put your foot this way. Do it like this.”

Stay true to your dreams! 🔵💙🙌
‼️ Jorginho is the first Player in premier league to have 10 Consecutive goals in the competition come from penalty spot 😲😲

(@optajoe)
 
Screenshot_20211031_061314_com.android.chrome.jpg
 
Tuna injuries kibao ,injuries tulizo nazo zingepatikana kwa majogoo ungesikia milio ya hatari lakini kwetu Reece James anawaonyesha washambuliaji namna ya kuwa na composure ya hali ya juu kwenye box na kuachia mishale ya moto.Tuchel mambinu anaendelea kutengeneza team ngumu na ambayo si rahisi kucheza nayo.
 
Kosi la dunia, kosi la sayari yake yn hakuna kosi kama hili kwa dunia ya sasa, zilikuwepo Ac Milan, ikaja Man Utd, ikaja Barca, haikutokea tena mpaka sasa ni Man Utd tena, yani hapo nje kuna mafundi kibaooo, kosi kama kosi
Screenshot_20211030-191944.jpg
 
Kosi la dunia, kosi la sayari yake yn hakuna kosi kama hili kwa dunia ya sasa, zilikuwepo Ac Milan, ikaja Man Utd, ikaja Barca, haikutokea tena mpaka sasa ni Man Utd tena, yani hapo nje kuna mafundi kibaooo, kosi kama kosi View attachment 1992961
Ole anawapatia sana nyinyi nyumbu... Naona jana alikuwa anapuliza.

Ukifika muda wa kung'ata mkae kwa kutulia
 
Bila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....

Game ya Liverpool ...

Game ya Brentford ....

Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...

Bahati inawabeba kenge nyie .....
 
Bila kupepesa macho ,ni mapema lakin hili kombe upepo unaeleka kwa Chelsea ....

Game ya Liverpool ...

Game ya Brentford ....

Ni miongoni mwa game zilizokuwa zinaonesha Safari ya bingwa...

Bahati inawabeba kenge nyie .....
"Bahati inawabeba kenge nyie" wala si sisi Chelsea FC(Mabingwa wa Ulaya) mwisho wa kunukuu...
 
Na nyie katengenezeni bahati yenu iwabebe.
Man City kuifunga Chelsea walibahatisha sana, tukikutana tena tutawakomehsa mazima na TT akaacha kuja na falsafa ya kujihami tutawatundika kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom