Game ngumu Sana vip Arsenal na liverpool wamepangiwa na Nani?
Timu za London zimewekwa pamoja ili kukwepa London Derby kwenye final
Kwan nae anarudi lin maaana kweli anahitajika sanaTunatengeneza nafasi nzuri sasa ila hakuna wamaliziaji, nimemkumbuka Lukaku
Tupo kwa liver tunasema kila mtu ashinde game zakeJamani mbona tupo kimya!?
Hatuamini kama tumeshinda?


Huyo miguvu angefanya nini? kuna mechi ngapi alikwepo na hakufanya chochote.Tunatengeneza nafasi nzuri sasa ila hakuna wamaliziaji, nimemkumbuka Lukaku
Wewe hujui mpira na nichakiongea ni kigiriki, nyamaza tuHuyo miguvu angefanya nini? kuna mechi ngapi alikwepo na hakufanya chochote.
Conor Galagher what a player, akija Chelsea atamuweka benchi MountConor Galagher kamtengenezea goli Zaha na City wako nyuma ya Goli moja huku wakicheza pungufu
Crystal Palace job well done
CP 1 City 0
In the first place hii sio analysisWe jamaa bana. Kwaio anafanya nini huko CPL sasa kama he's better than Mount? Kuanzia leo nimepuuza analysis zako. Una 'mihemko'
Game zote za EPL huwa nacheki kwa simu tu dstv haina hajaWenye king'amuzi cha Azam mechi ya Chelsea itaonyeshwa na Chanel ya K24 (Kenya )