The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kosi kama kosi 


Kama vile hizi point 24 twazichukua kama zilivyoMechi zetu za December hapa ndo kikosi kipana kinapohitajika
1st- Watford (A)
4th- West Ham (A)
8th- Zenit (A)- UCL
11th- Leeds (H)
16th- Everton (H)
19th- Wolves (A)
21/22/23- Brentford (A)- LC
26th- Aston Villa (A)
29th- Brighton (H)
Hapo tunapaswa tuchukua at least 20 points hio ni minimum tujihakikishie ubingwa
Leo tunakipiga na Nani wakuu
Tunatengeneza nafasi nzuri sasa ila hakuna wamaliziaji, nimemkumbuka Lukaku


Wewe umevuta bange, nyamaza, hili jukwaa ni la mashabiki sio la maprofesa wa kufanya uchambuzi, unadakia maoni ya watu kama huelewi si unyamaze au kama wewe ni mchambuzi chambua basi acha kutapikaSo what? I will give you the answer. So wewe ni mweupe sana kwenye football. Mwepesi kama karatasi. Uchambuzi wako unaendeshwa na mihemko. Wewe baki na hizo in the first place na second place zako![]()
Ushindi nao kma unapoozesha jukwaa tumezoea kushinda ndio maana hatushtuki Arsenal na Manure pita kwenye majukwaa yao Mara Nan Out sijui flan Anaihujumu timu yaan fujo tu lakin kwa mabingwa kimya kimyaJamani mbona tupo kimya!?
Hatuamini kama tumeshinda?
Hukuwa na haja ya kuongea lugha ngumu, kila shabiki anayop haki ya kumsiafia na kumpamba mchezaji anayemkunaGallagher for Mount. Hata Gallagher angeskia hii angekudharau. Playing for lower table teams with no pressure is one thing, playing for a side like Chelsea where loads are on your shoulders to deliver is a completely different story. Kwa leo umepuyanga blaza. Hata kama nimevuta bangi kwa madai yako........... umepuyangaaaa lumburis
Hivi Mara ya mwisho kumuona pain killer humu ilikuwa mwaka gani!?
Hahaaa



tangu afungwe na PSG hajaonekanHivi Mara ya mwisho kumuona pain killer humu ilikuwa mwaka gani!?
Hahaaa



noma sanaCheki hii kiazi mbatata..We jamaa huwa ni kiazi sana.