Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Mkuuu unahatar sana www maaana yake tumesha shinda tayrSasa tutajadili nini mkuu wakati point 3 na goal za kutosha zipo mezani?
Mkuuu unahatar sana www maaana yake tumesha shinda tayrSasa tutajadili nini mkuu wakati point 3 na goal za kutosha zipo mezani?
Hii mechi itakuwa ya upande mmoja wala haitakuwa na ladha, mi9mi nasubiri mechi na Juve, walituvizia sana na itafanyika DarajaniMkuuu unahatar sana www maaana yake tumesha shinda tayr
Duh Mzee uropa tenaHii match tunahitaji kushinda kivyovyote vile... Otherwise huenda Uropa inatuita....
Tunapata shida sana kucheza na timu zinazopaki basi.

Toa alonso toa azplicueta toa zyche goli nying sana zipo bila hivyo hatutoboiHii match tunahitaji kushinda kivyovyote vile... Otherwise huenda Uropa inatuita....
Tunapata shida sana kucheza na timu zinazopaki basi.
Usichukulie poa me nikikumbuka mwaka 2013 tulivyoingia uropa kimasihara na tulipangwaga kundi moja na Juve na kipindi kile walitupiga Turin kama sasa hivi...Duh Mzee uropa tena![]()
TT acha utani kuna watu humo ndani cjui wanafanya nn?Usichukulie poa me nikikumbuka mwaka 2013 tulivyoingia uropa kimasihara na tulipangwaga kundi moja na Juve na kipindi kile walitupiga Turin kama sasa hivi...
Tena tulikuwa tumetoka kuchukua Uefa sina hamu....
Hat siku ile chelsea wameenda kule Italy niliandika hicho kitu....TT acha utani kuna watu humo ndani cjui wanafanya nn?
1 bilaTumeshinda ngapi mazee ..nilikuwa shamba
Chelsea jana hawakucheza vizuri kabisa, Malmo ni timu ya kufungwa 5-7 na Chelsea1 bila
Chelsea Trophies:![]()
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m
View attachment 450991
Owner: Roman Abramovich
View attachment 450993
Chairman: Bruce Buck
View attachment 1688249
Head Coach: Thomas Tuchel
League Titles: 6
Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)
European Trophies: 8
UEFA Champions League: 2 (2011/12, 2020/2021)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 2 (1998, 2021)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 1970/71)
FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)
League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)
Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)
View attachment 1889041Follow this thread for team updates!
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Super Cup Winners(2021)
View attachment 1111925
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Europa League Champions (2018/19)
View attachment 1801870
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Champions League Winner (2020/21)
View attachment 1820725
Chelsea’s Premier League Fixture - 2020/21