Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,917
- 2,643
SimbaUnashabikia timu gani?
SimbaUnashabikia timu gani?
Sasa kilichokuleta humu ndani ni nini.Simba
Zidane aheshimiwe. Hat trick uCL siyo mchezo.Kuna kipindi cha The Headline Makers" inaendelea sasa hivi Supersport wanamjadili TT na wanaweka recorded interview kuhusu Ugenius wa TT na Lukaku kutofunga na mambo mengineyo.
Kuhusu yeye kuitwa Super Genius TT anasema yeye anachofanya ni kutoa solution ya ushindi kwa wachezaji wenyewe
Mbinu zake zinabadilika nchi kwa nchi, ligi kwa ligi, timu kwa timu na pia mwaka kwa mwaka kwa sababu wachezaji wanaondoka na wanakuja wapya.
Kuhusu Lukaku kutofunga anasema wachezaji bado wanafahamiana, saa nyingine inachukua muda na pia kasema Lukaku sio mbinafsi na hiyo imejionyesha kwenye ushirikiano anaoutoa kwa washambuliaji wenzake na pia kwenye dressing room.
Anasema Lukaku kupewa huduma ya mipira ni suala la connections
Kuna wachezaji wameshamtambua Lukaku na wengine bado wanajifunza ni suala la muda tu
Pundits wanaoendesha mjadala wakatoa comment ambayo nimeipenda
TT ni supper genius, kaja EPL ligi ngumu akaleta mabadiliko ya haraka kuliko ilivyotegemewa na wengi na hasa kubeba UCL
Pia wakasema angalia Chelsea haichezi kwenye kiwango chake na iko top of the League wakati imeshacheza mechi ngumu zaidi ya contenders wenzake.
Je form ya Chelsea ikirudi mahali pake itakuwaje?
Mambo mazuri yanakuja The Blues msivunjike moyo
Acha kubwabwaja wakati huna data.Una bwabwaja inmradi TU ubwabwaje ewe mubakaji.Kuna makocha Wana historia zao bwana ,wamechill.Sasa kilichokuleta humu ndani ni nini.
Unatafuta Bwana?
Ukibakwa utamlalamikia mtu?
Utaolewa muda si mrefu endelea kurandaranda humu.Acha kubwabwaja wakati huna data.Una bwabwaja inmradi TU ubwabwaje ewe mubakaji.Kuna makocha Wana historia zao bwana ,wamechill.
Kushinda kwa Timu hakutegemei refa,Kama ingekuwa ivyo,Timu ingekata rufaa kusema Taylor asichezeshe game za Chelsea[emoji2958]Out of Context!!
Huna Cha kuongea,pita ivi.Kama uliolewa ukaachika au uko na mmeo huko usidhani na Mimi naolewa.Utaolewa muda si mrefu endelea kurandaranda humu.
[emoji23]Kwan klop aliingia na hizo timu final back to back ?Klopp. Na bvb na Liverpool
Je ni mfururizo?elewa swaliKlopp. Na bvb na Liverpool
Mbona ole au arteta Hawana huo upepo?Sijasema ni rahisi.Nimesema ni upepo.
Bora Howard Webbunamkumbuka howard webb
na vimbwanga vyake? ndo kama
huyu taylor sasa
Kama anataka hivyo hata pep nae anabahatisha tu kama yeye ni kocha mzuri aikache man shit anende huko championship tuonebasi klopp nae anabahatisha maana upepo umemuendea vizuri akiwa liver
Guardiola pamoja na kuifundisha bayern yenye ubora lakini hajawahi kufika fainal Hili unasemaje?Tuchel amekaa zaidi ya misimu miwili pSg,Amefika fainal mara Moja TUU,na nyingine zote alikuwa akiishia robo Lichq ya kuwa huru kusajiri mchezaji anae muitaji.
Nae upepo tu asingekuwa na Ronaldo katika form yake wala asingebeba.Zidane aheshimiwe. Hat trick uCL siyo mchezo.
Kama amebebwa na Ronaldo mbona huyo Ronaldo kaenda Juventus nakashindwa hata tu kuifikisha Juventus nusu FainalNae upepo tu asingekuwa na Ronaldo katika form yake wala asingebeba.
Haha Ronaldo yuko manyua tuone kama sosha nae atakumbwa na upepo au u jiniasi
Upepo wao unajua Uko Wapi? Kwanini TT upepo umeonekana Epl.?Mbona ole au arteta Hawana huo upepo?
Kila kocha na upepo wake,ndo maana akashindwa kufika na bayern fainal lakini na city akafikaGuardiola pamoja na kuifundisha bayern yenye ubora lakini hajawahi kufika fainal Hili unasemaje?
Na ndo maana Nikasema Zidane aheshimiwe.Ni Sawa na kusema Kante asingekuwa Chelsea ,TT asingebeba.Non sense.Nae upepo tu asingekuwa na Ronaldo katika form yake wala asingebeba.
Haha Ronaldo yuko manyua tuone kama sosha nae atakumbwa na upepo au u jiniasi
Ndo maana tunazungumzia upepo.Kama anataka hivyo hata pep nae anabahatisha tu kama yeye ni kocha mzuri aikache man shit anende huko championship tuone
Kwani back to back ya TT ikoje,Si kaanza alipo ishia Lampard.Tofauti na Klopp aliye chukua Timu mwanzo wa msimu.Iyo back to back aioneshe alipo Anza yeye Kutoka kwenye makundi mpaka fainal[emoji23]Kwan klop aliingia na hizo timu final back to back ?