42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Na Zidane acheze back to back ucl final na timu mbili tofauti.TT achukue Izo hat trick.
Na Zidane acheze back to back ucl final na timu mbili tofauti.TT achukue Izo hat trick.
Ona Sasa akili YAKO. Sasa zidane achukue back to back.Zidane Kwa Sasa anacoach timu Gani.Achaa kubwabwaja tuu broda,Inmradi. Afu tukisema tunaonekana mahater,wabish,hatuna akili.Vyote Sasa.Na Zidane acheze back to back ucl final na timu mbili tofauti.
Kilichomfanya asiwe hana timu ni nini?Ona Sasa akili YAKO. Sasa zidane achukue back to back.Zidane Kwa Sasa anacoach timu Gani.Achaa kubwabwaja tuu broda,Inmradi. Afu tukisema tunaonekana mahater,wabish,hatuna akili.Vyote Sasa.
Sasa Zidane achukue back to back akiwa na timu Gani anayo coach Kwa sasa
Hujajibu swali na sitoi comment [emoji850] Kwa utakacho commentKilichomfanya asiwe hana timu ni nini?
Leo tunakipiga na nani wakuu?
3-5-2 ndio iliyotumaliza kwa Man city. TT asije tu akarudia hiyo blunder11 yetu leoView attachment 1976613
Hakuna hata CB mmoja kwenye benchi
Sisi ndio Chelsea wewe..Moja ya timu zenye defense bora england
Kosi la dunia unat*mbwa 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kosi la dunia.View attachment 1976477