Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa maana hiyo Guardiola sio kocha Bora Bali anaendeshwa na upepo?
Gurdiola ni kocha bora,na ubora huo kauonesha kote aliko pita.Vipi TT? Kaanza ukocha akiwa Chelsea ndo maNa anaonekana bora Kwa ss?
 
Ukiona hvy ujue wana muda wa kubishana nae, mm nimemjibu mara moja tuu nmetulia.
Wkend ndo hii,Ligi zimerudi.J4 na J5 usiku wa mabingwa.Tuenjoy soccer.

Mimi sibishani na mtu.Ila ni swala la kueleweshana TU na kushare unacho kijua.basi.Kama unAbishana ni wewe na Sio Mimi.
 
Kwani back to back ya TT ikoje,Si kaanza alipo ishia Lampard.Tofauti na Klopp aliye chukua Timu mwanzo wa msimu.Iyo back to back aioneshe alipo Anza yeye Kutoka kwenye makundi mpaka fainal
Kk we ni hater Tu unacomplicate mambo[emoji23]....kunywa maji
 
Kosi la dunia.
Screenshot_20211016-160524.jpg
 
Oneni huyu....

Tuchel amekaa PSG misimu miwili na nusu,

Msimu wa kwanza aliishia 16 bora

Msimu,wa pili akaishia fainali

Msimu wake wa 3 uliishia mwezi december.

Wewe unaita upepo ila nakupa kazi, niletee Kocha yoyote ambaye amecheza UCL final back to back akiwa na timu tofauti.
TT ndie kocha pekee aliyefika fainali mfululizo akiwa na timu mbili tofauti, akibisha unitag
 
Kwani back to back ya TT ikoje,Si kaanza alipo ishia Lampard.Tofauti na Klopp aliye chukua Timu mwanzo wa msimu.Iyo back to back aioneshe alipo Anza yeye Kutoka kwenye makundi mpaka fainal
Lampard aliishia pazuri?

Unaongea kama vile umekatwa kichwa.

Halafu unasema tumuheshimu Zidane at the same, hivi unamjua Kocha aliyekuwepo kabla ya Zidane?
 
Wkend ndo hii,Ligi zimerudi.J4 na J5 usiku wa mabingwa.Tuenjoy soccer.

Mimi sibishani na mtu.Ila ni swala la kueleweshana TU na kushare unacho kijua.basi.Kama unAbishana ni wewe na Sio Mimi.
Tangu jana mnaeleweshana tuu.? Bc nyie wote vichwa maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom