Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unadandia gari kw mbele brother then unaita mawazo yangu mgando, nikumiminie ukalie ugali? ....... ungeuliza kwanza nimewaunganishaje, unaweza ukawa ww ndio una mawazo mavi, Sasa nikueleweshe ni kwamba watu wanawalalamikia akina Mount hawampi Lukaku pasi ndio mana hafungi,wanaficha uhalisia kua kile Kiloba tumepgwa. Mbona wakat Tammy Abraham alivyokua hafungi walikua wanamlaumu Tammy Abraham mwenyewe, walikua hawatup lawama kwingine.
unataka Lukaku ni best striker on earth kwa sasa. Cv ya msimu uliopita inambeba sana na ndo sababu ya kununuliwa na Chelsea kacheza match 51 GA 40 sasa hapo utasemaje chelsea wamepigwa?
Frontline ya Chelsea haina connection nzuri kuna akau binafsi ka tika kutoa assist... Mount dhidi ya Liverpool kuna pass za uhakika hakumpa Lukaku, pia harvertz pia alimbania pass.
Man city alifunga ikawa offside.
Dhidi ya Juventus pia alipata nafasi nyingi tu ontarget za kutosha ndo hvyo haikuwa bahati yetu...
Lukaku ni first eleven ya Chelsea akiwa mzima kiafya lazima aanze utake au usitake.
 
Mervin PSG pamoja na kusajili majina makubwa hawakuwahi kuvuka hatua ya robo fainal ya Uefa lakini baada ya ujio wa Tuchel ameifikisha PSG Fainal ya Uefa na kama kusingekuwa na utoto wa Mbappe na Neymay pale mbele wangeshinda walikosa magoal Sana UEFA.
Ndo maana Nikasema ujiniasi,Umeanza kuonekana akiwa Chelsea.
 
Upepo kiaje? Mtu kacheza fainali mbili za UEFA na timu mbili tofauti consecutive....
Kwani uefa imeanza juzi??! Unajua alifukuzwa psg kwa sababu Gani? Tangu akiwa psg amefika fainal mara ngapi? Vipi alipo kuwa BVB?
 
Huwezi kusema ana bahatisha wakati alitoa changamoto kubwa kww Bayern tofauti na kipindi Cha Tuchel
 
Unaonekana mweupe kinyama kichwani...

Tuchel ameakaa PSG misimu mingapi?
Wee ndo mweupe... Hujui hata Tuchel kakaa Psg kwa muda Gani! Na misimu yote alikuwa anaishia wapi uefa tofauti na fainal aliyo fika na bayern.
 
🚨 Thomas Tuchel has joked that he is not yet signed the Anthony Taylor petition but could do so after the Brentford game, he stresses his players must not think Taylor has an agenda against them
 
Mervin PSG pamoja na kusajili majina makubwa hawakuwahi kuvuka hatua ya robo fainal ya Uefa lakini baada ya ujio wa Tuchel ameifikisha PSG Fainal ya Uefa na kama kusingekuwa na utoto wa Mbappe na Neymay pale mbele wangeshinda walikosa magoal Sana UEFA.
Tuchel amekaa zaidi ya misimu miwili pSg,Amefika fainal mara Moja TUU,na nyingine zote alikuwa akiishia robo Lichq ya kuwa huru kusajiri mchezaji anae muitaji.
 
Axel witsel🗣️🎤
Nyota huyu anayekipiga kunako club ya Dortmund na timu ya taifa ya ubelgiji aliulizwa swali na moja ya waandishi wa habari kuwa amezipokea vipi Taarifa za kukosekana kwa kiungo wa ufaransa na chelsea ""Ng'olo Kante"" kwenye mchezo wa Kati ya ubelgiji na ufaransa,,, yeye akajibu hivi👇
"Ni vizuri kwasababu huyu mtu utadhani anamapafu sita na miguu 36"
 
Tuchel amekaa zaidi ya misimu miwili pSg,Amefika fainal mara Moja TUU,na nyingine zote alikuwa akiishia robo Lichq ya kuwa huru kusajiri mchezaji anae muitaji.
Oneni huyu....

Tuchel amekaa PSG misimu miwili na nusu,

Msimu wa kwanza aliishia 16 bora

Msimu,wa pili akaishia fainali

Msimu wake wa 3 uliishia mwezi december.

Wewe unaita upepo ila nakupa kazi, niletee Kocha yoyote ambaye amecheza UCL final back to back akiwa na timu tofauti.
 
Unabishana na mtu hana akili anaongea ushabiki tuu ,anadhani UEFA ni mapinduzi cup
 
Oneni huyu....

Tuchel amekaa PSG misimu miwili na nusu,

Msimu wa kwanza aliishia 16 bora

Msimu,wa pili akaishia fainali

Msimu wake wa 3 uliishia mwezi december.

Wewe unaita upepo ila nakupa kazi, niletee Kocha yoyote ambaye amecheza UCL final back to back akiwa na timu tofauti.
Klopp. Na bvb na Liverpool
 
Wewe shida yako ni nini?
Nikuulize wewe.Maana umeuliza nimekujibu.Wewe shida yako ni Nini????labdaaa.

Hakuna cha ajabu unacho tetea hapo,Kuhusu mwaka alio kaa TT psg nimekwambia Miaka miwili ambayo ni miaka miwili na nusu.Shida yako ni Nini?
 
Unashabikia timu gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom