Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
Nasikia kuna remours kwamba hazard anataka kurudi Chelsea .Hakuna wachezaji wa kuwachezesha, Werner, Lukaku wakienda pale Man city watafunga sana.
Inafikirisha sana Lukaku, Werner, Kai wakienda timu za taifa wanafunga kila mechi, wakirudi BLUES ukame wa magoli.
The BLUES hatuna washambuliaji creative wanaowazunguka Lukaku & Werner. Hawa Ziyech, Mount, Barkely, Cheek, Odoi wanalazimisha kucheza vitu ambavyo havipo.
Werner angewakuta hazard, Pedro, Willan, Fabrigas angefunga sana.
Tumeenda kumsajili Lukaku, changamoto ya kutokufunga mabao ipo pale pale
Ishu ilikuwa sio kumsajili Lukaku aje kutatua changamoto ya kufunga magoli, bali ilikuwa kuziba mapengo ya hazard, willan, Pedro na fab.
Wakati CONTE anamtaka Lukaku, Hazard, fab, willan, Pedro walikuwepo, angetua wakati ule lingekuwa balaa zito.
TT pale mbele apange mifumo yote anavyojua, afundishe style zote za ushambuliaji pale mbele, hawa Werner na Lukaku watastruggle sana kufunga magoli.
Solution ni kusajili creative attacking mildfliders and wings. Magap ya Hazard, Fab, Willan na Pedro yazibwe.
Na Pulisic kula mshahara bure inatosha.
Arudi tu kule Kati kadoda mbaya haya maswala ya kulazimisha kuondoka yanawa cost sana vijana wa siku hizi
Hata huyu Harry kane subirini asepe pale spurs atakiwa sawa na saidi bahanuzi tu
Kuna yule dogo mbappe nae anaweza flop mbay sana
Time will tell

