lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Uchovu ndio unaomsumbua kwenye misuli, anaweza asiwepo kwa ajili ya kujenga fitness kama ambavyo itakuwa kwa akina James, Pulisic, Kante na RudigerLukaku karudi ameonekana leo mazoezi
Uchovu ndio unaomsumbua kwenye misuli, anaweza asiwepo kwa ajili ya kujenga fitness kama ambavyo itakuwa kwa akina James, Pulisic, Kante na RudigerLukaku karudi ameonekana leo mazoezi
Nahis anaweza akapata some minutes from the benchUchovu ndio unaomsumbua kwenye misuli, anaweza asiwepo kwa ajili ya kujenga fitness kama ambavyo itakuwa kwa akina James, Pulisic, Kante na Rudiger
Huyu dogo ni bonge la mchezaji, sema watu wanampa lawama tu kisa kiloba chao hakifungi. Hamtaki kuamin kwamba Lukaku tumepgwa. Mount ndio wining teamI trust in Mason Mount
Wewe wasemaHuyu dogo ni bonge la mchezaji, sema watu wanampa lawama tu kisa kiloba chao hakifungi. Hamtaki kuamin kwamba Lukaku tumepgwa. Mount ndio wining team
Andreas Christensen in 2021/22 season so far:Denmark mpaka sasa hawajafungwa goli kwenye mashindani ya European Qualifier kwa maneno mengine wana clean sheet 5 na wameshinda zote. Je Christansen ana mkono hapo.
Bosi wa Brentford amekiri tayari kuwa Christensen ni Complete Package
Brentford manager Thomas Frank believes Chelsea defender Andreas Christensen is ‘almost the complete package’ and ‘one of the best defenders in the world’.
Naongezea nyamaMatukio ya Antony Taylor dhidi ya Chelsea na ni kwanini hafai kuchezesha mechi za Chelsea
- 2014 alimpa Fabregas kadi ya njano kwa kudive eneo la penalti wakati ni kweli Fab alifanyiwa rafu na kuinyima Chelsea penalti ya wazi- Baadaye aliomba msamaha ila haikuwa na msaada kwa Chelsea
- December 2019, kipa wa Spurs Gazzaniga alimfanyia uninja Alonso lakini Taylor alipotezea hiyo rafu ilitakiwa iwe penalti
- May 2017 Sanchez aliunawa mpira kabla ya kufunga na Taylor akaminya na Arsenal wakabeba FA
- February 2020 Maguire alimpiga mapumbu Batsuayi, Taylor akapotezea
- August 2020, Kovacic alifanyiwa rafu na Xhaka lakini Taylor alimpa kadi ya njano ya pili Kovacic na kumtoa nje kwa red card
- 28 Aug 2021, Taylor alimpa Reece James kadi nyekundu kwa kushika mpira
- Tarehe 16 October 2021 sijui Taylor atatulimia wapi???
Hakuna Cha ujiniasi hapo.Sema upepo umemwendea poa Epl.Mboa huo ujiniasi hakuonesha alivo kuwa BVB na PSG??? Kismatii tuu.Kama vile MTU wa Moshi anavyo pambania life Wakati yuko Moshi halisongi.Lakini anapo Toka na kwendaa MUsoma anasema yes alichelewa wapi.Ujiniasi Gani TT alio naoKuna kipindi cha The Headline Makers" inaendelea sasa hivi Supersport wanamjadili TT na wanaweka recorded interview kuhusu Ugenius wa TT na Lukaku kutofunga na mambo mengineyo.
Kuhusu yeye kuitwa Super Genius TT anasema yeye anachofanya ni kutoa solution ya ushindi kwa wachezaji wenyewe
Mbinu zake zinabadilika nchi kwa nchi, ligi kwa ligi, timu kwa timu na pia mwaka kwa mwaka kwa sababu wachezaji wanaondoka na wanakuja wapya.
Kuhusu Lukaku kutofunga anasema wachezaji bado wanafahamiana, saa nyingine inachukua muda na pia kasema Lukaku sio mbinafsi na hiyo imejionyesha kwenye ushirikiano anaoutoa kwa washambuliaji wenzake na pia kwenye dressing room.
Anasema Lukaku kupewa huduma ya mipira ni suala la connections
Kuna wachezaji wameshamtambua Lukaku na wengine bado wanajifunza ni suala la muda tu
Pundits wanaoendesha mjadala wakatoa comment ambayo nimeipenda
TT ni supper genius, kaja EPL ligi ngumu akaleta mabadiliko ya haraka kuliko ilivyotegemewa na wengi na hasa kubeba UCL
Pia wakasema angalia Chelsea haichezi kwenye kiwango chake na iko top of the League wakati imeshacheza mechi ngumu zaidi ya contenders wenzake.
Je form ya Chelsea ikirudi mahali pake itakuwaje?
Mambo mazuri yanakuja The Blues msivunjike moyo
Una akili mgando kijana...mount ni CM NA LUKAKU NI ST AU CF.hapo unawalinganishaje?Huyu dogo ni bonge la mchezaji, sema watu wanampa lawama tu kisa kiloba chao hakifungi. Hamtaki kuamin kwamba Lukaku tumepgwa. Mount ndio wining team
Una akili mgando kijana...mount ni CM NA LUKAKU NI ST AU CF.hapo unawalinganishaje?

Sasa hapa tatizo lipo wapi ....Matukio ya Antony Taylor dhidi ya Chelsea na ni kwanini hafai kuchezesha mechi za Chelsea
- 2014 alimpa Fabregas kadi ya njano kwa kudive eneo la penalti wakati ni kweli Fab alifanyiwa rafu na kuinyima Chelsea penalti ya wazi- Baadaye aliomba msamaha ila haikuwa na msaada kwa Chelsea
- December 2019, kipa wa Spurs Gazzaniga alimfanyia uninja Alonso lakini Taylor alipotezea hiyo rafu ilitakiwa iwe penalti
- May 2017 Sanchez aliunawa mpira kabla ya kufunga na Taylor akaminya na Arsenal wakabeba FA
- February 2020 Maguire alimpiga mapumbu Batsuayi, Taylor akapotezea
- August 2020, Kovacic alifanyiwa rafu na Xhaka lakini Taylor alimpa kadi ya njano ya pili Kovacic na kumtoa nje kwa red card
- 28 Aug 2021, Taylor alimpa Reece James kadi nyekundu kwa kushika mpira
- Tarehe 16 October 2021 sijui Taylor atatulimia wapi???

Kwa Maana hiyoo,Ilii Chelsea iweze kupata ushindi,Lazima connection na refa iwepo na si Kwa performance ya Timu na uwezo wa wachezaji.Matukio ya Antony Taylor dhidi ya Chelsea na ni kwanini hafai kuchezesha mechi za Chelsea
- 2014 alimpa Fabregas kadi ya njano kwa kudive eneo la penalti wakati ni kweli Fab alifanyiwa rafu na kuinyima Chelsea penalti ya wazi- Baadaye aliomba msamaha ila haikuwa na msaada kwa Chelsea
- December 2019, kipa wa Spurs Gazzaniga alimfanyia uninja Alonso lakini Taylor alipotezea hiyo rafu ilitakiwa iwe penalti
- May 2017 Sanchez aliunawa mpira kabla ya kufunga na Taylor akaminya na Arsenal wakabeba FA
- February 2020 Maguire alimpiga mapumbu Batsuayi, Taylor akapotezea
- August 2020, Kovacic alifanyiwa rafu na Xhaka lakini Taylor alimpa kadi ya njano ya pili Kovacic na kumtoa nje kwa red card
- 28 Aug 2021, Taylor alimpa Reece James kadi nyekundu kwa kushika mpira
- Tarehe 16 October 2021 sijui Taylor atatulimia wapi???
Loh hapo kuna kazi hatuna kiongozi kwenye kikosi Mungu asaidie tufunge kwanza wakitutangulia itakua kazi kurudisha magori mawiliBRENTFORD VS CHELSEA
----- Werner --- Lukaku ------Mount--------
Alonso ----- Kovacic ---- Kante ----- James
----- Sarr --- Christensen --- Chilobah ----
.
.
.
Final Score:- DRAW
Naona kwenye rwb atacheza reece james halaf kwenye lcb naona azplicueta akicheza, huku cb akicheza christeansen na rcb akiwa chalobahBRENTFORD VS CHELSEA
----- Werner --- Lukaku ------Mount--------
Alonso ----- Kovacic ---- Kante ----- James
----- Sarr --- Christensen --- Chilobah ----
.
.
.
Final Score:- DRAW