Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The richest clubs in the world:

400 billion Newcastle
260 billion PSG
25 billion Man City
18.5 billion Leipzig
18.5 billion Salzburg
16.5 billion Juventus
12 billion Chelsea
10 billion LA Galaxy
8 billion Arsenal
Acha kupotosha...hao ni wamiliki wa club..na siyo club tajir dunian....unataka kuniambia Newcastle as a team ni matajir kuliko real Madrid?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha habari haiendani na ukweli
Ungesema The club with a richest owner in the world, japo Newcastle take over bado

Richest Football Clubs (2021):
  1. Real Madrid - $896 million
  2. Barcelona - $815 million
  3. Manchester United - $795 million
  4. Bayern Munich - $751 million
  5. Manchester City - $678 million
  6. PSG - $646 million
  7. Liverpool - $613 million
  8. Chelsea - $597 million
  9. Arsenal - $520 million
  10. Tottenham - $511 million


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
LUKAKU:-

"The way I’m built – I’m quite big – everybody thinks I’m a sort of target man: just holding up the ball and being a goal poacher. But I’ve never played that way and I hate it.

My biggest strength is that I’m dangerous when I’m facing towards the goal, because that’s when I rarely make wrong choices.

"After I pass the ball, I know where I have to position myself in the box. I can do a bit of everything and in some games when I know there is a lot of space behind the defence, I play differently. The reason I’m so productive [in front of goal] is because I can do a bit of everything."

Sasa Lukaku akipass the ball to Mount, Mount harudishi pass kwa Lukaku anaishia kupiga shuti na kumbabua beki.

Ziyech akipewa pass na Lukaku anaishia kupiga mpira nje au kunyang'anywa.

Kwa kweli Lukaku huwa anaishia kunyoosha mikono mbele kulaumu kwa nini hukunipa pass hapa.
Kumbe kashauri pia, kocha auchukue huo ushauri
 
The next Marina
Huyu mwanamama ndie aliyewasaidia wale waarabu kuinunua Newcastle na sasa wamemteua kuwa Director na mwakilishi wao kwenye maamuzi yote ya klabu
Kwa hiyo sasa Marina wetu anaye mshindani wake Iron lady na nadhani wanafanana kwa misimamo na power except huyu Amanda ni Mwingereza na Marina ni Mrusi

sport-preview-Amanda-Staveley.jpg
 
Hakuna wachezaji wa kuwachezesha, Werner, Lukaku wakienda pale Man city watafunga sana.

Inafikirisha sana Lukaku, Werner, Kai wakienda timu za taifa wanafunga kila mechi, wakirudi BLUES ukame wa magoli.

The bluea hatuna washambuliaji creative wanaowazunguka Lukaku & Werner. Hawa Ziyech, Mount, Barkely, Cheek wanalazimisha kucheza vitu ambavyo havipo.

Werner angewakuta hazard, Pedro, Willan, Fabrigas angefunga sana

Ishu ilikuwa sio kumsajili Lukaku aje kutatua changamoto ya kufunga magoli, bali ilikuwa kuziba mapengo ya hazard, willan, Pedro na fab.

Wakati CONTE anamtaka Lukaku, Hazard, fab, willan, Pedro walikuwepo, angetua wakati ule lingekuwa balaa zito.

TT pale mbele apange mifumo yote anavyojua, afundishe style zote za uchezaji, hawa Werner na Lukaku watastruggle sana kufunga magoli.

Solution ni kusajili creative attacking mildfliders and wings. Magap ya Hazard, Fab, Willan na Pedro yazibwe.
Kweli mkuu pendekezo lako je kwan Chelsea bord hawalioni hilo? Na je hawalijui hilo? Na je duniani hao creative wa kuwalisha hakuna?
 
Mimi naona kama washambuliaji wengi wa Chelsea wana ubinafisi wanataka wafunge wao badala ya kuwapasia Lukaku na Wener.

Na hii inatokana na kutowaheshimu hao mastriker kama ambavyo Drogba alikuwa akiheshimiwa na wachezaji wenzake.

Costa naye aliheshimiwa kwa kuwa alikuwa fighter na hamuonei mtu aibu hivyo automatically wachezaji wenzie wakamheshimu na kuwa wanampatia mipira kila mara.

Wener na Lukaku wakitaka wawe goals machine pale Chelsea inabidi wafanye kitu cha ziada ili wachezaji wenzao wawaheshimu na kuwa wanawalisha mipira kila mara. Vinginevyo hawa strikers wengine wanawachukulia kawaida tu hasa ukizingatia wamewakuta tayari wakiwapo klabuni.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sina elimu ya ukocha wala sijawahi kucheza mpira mkubwa zaidi ya ule pale Old Moshi Secondary School vs majirani zetu Umbwe, Lyamungo, Moshi Tech kwa wakati huo

Lakini nikiangalia mpira tunaocheza the BLUES naona tatizo liko wapi.
Mkuuu nimeuliza je Chelsea bord haoni hilo na je TT haoni anahitaji nn ili kukamikisha magoli mengi tena je pendekezo lako kiukweli mapengo ya hao watu bado kuzibika naunga hoja yako
 
Pengine Bodi wana imani na Pulisic atapona ni Hazard mpya.

Pengine wanaamini Ziyech hajazoea EPL

Pengine wanaamini Mount ni next Lampard

Pengine wanaamini Odoi apewe muda ni next Willan
Mhh kwa zych na Odoi na log out mkuu hao hawezi kuwafika hao watu ha nusu yup mmarekani na nyama za sambusa hovyo zinavimba
 
Rudiger, Silva na Mendy kutowekwa kwenye hiyo list ni ukatili na uonevu, sijui hao wanatumia vigezo gani

On the other hand, Mount naona kaanza career yake vizuri sana, mwanga wake unag'aa mapema. Atafika mbali asipozimia moyo
Kweli Ballon dor imekosa thamani, Mount anachomzidi ESR ni ufupi tu.
 
Newcastle kununuliwa n tajiri sio lazima wafanye vizuri
Itategemea sana na mfumo wataoadapt pia na vision ya owners
Chelsea kilichowasaidia ni structure yake ya uongozi na viongozi wenye maono na kufuatilia maono na kuyaishi
Ziko timu zenye kum8ilikiwa na matajiri lakini zimeshindwa kutoboa
Hela ya mwarabu haijawahi kushindwa kitu, usijidanganye mkuu.
 
Kweli Ballon dor imekosa thamani, Mount anachomzidi ESR ni ufupi tu.
Wwe inaonekana hukuwa na bundle yaani taarifa ndio unaipata leo unaishi maporini ssa umekuja mjin kwa shemeji yako kuuza matikit ndio ukakutana na taarifa hyo Basi TUFANYE WAMTOE MAUNT WW MUWEKE LOKONGA SSA UFURAHI
 
Chief ukiona timu yetu inaanza kuwategemea RLC, BARKELY, ODOI wakupe matokeo, hapo fahamu taa nyekundu imewaka.
Ukiacha swala la yeye BARKLEY kuonekana ni mchezaji wa mambo mengi na incosistence ....Ila czan km mount kamzidi Barkley kwenye suala la creativity kwenye final third ....RLC kashaanza kurudi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom