lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Hata huo muda ukifika na Lukaku asipofunga, kosa ni la mfumo mzima ambayo Kocha ndiye anayetakiwa kulisimamia. Mfumo wa sasa sio wa kumtum ia Lukaku. Timu imezoea kucheza bila striker, sasa kaja wanataka striker akatafute mipiraNi suala la mda tu, mda ndio utaweka kila kitu wazi. Muhimu uzima tu.
Hata Abraham katimuliwa bure, mfumo wa Chelsea haukuwekwa wa kumuhudumia striker
Werner kidogo anajaribu sasa kocha hampi nafasi, pulisic anataka afunge mwenyewe, Ziyech anataka afunge mwenyewe, Odoi paparapapara bado ni nyingi hajatulia, Mount aliyekuwa anajitahidi kaugua, Alonso kachoka, James red card baadaye injury, Azpi kachoka
Hao tunaowategemea wa katikati sijui ni uchovu hasa Kova kwa sababu Jorgninho yeye huwa hapasii wafungaji kabisa.

4/23 Grand Duels Won