lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,908
Hapo kwa Havertz wangemuanzisha Werner[emoji599] Sky Italy say Chelsea’s likely XI
Edouard Mendy
Christensen, Thiago Silva, Rüdiger Azpilicueta, Jorginho, Krovačić, Alonso Ziyech, Lukaku, Havertz
Hapo kwa Havertz wangemuanzisha Werner[emoji599] Sky Italy say Chelsea’s likely XI
Edouard Mendy
Christensen, Thiago Silva, Rüdiger Azpilicueta, Jorginho, Krovačić, Alonso Ziyech, Lukaku, Havertz
Subili kipigo tu ,hakuna namna nyingine kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka 2013 ikiwa ni msimu mmoja tu baada ya kubeba UCL juventus walitunyuka 3-0 kule Turin na kupelekea kwenda kucheza Europa.
8 years now tunakutaka na Juventus tukiwa tumetoka kuchukua UCL.
This time tunaanzia Turin, Je mambo yatajirudia?
Kundi lako anapita club brugge na psg... Endelea kupiga mdomo kama chuchungeSubili kipigo tu ,hakuna namna nyingine kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna unalojua kuhusu group stage CL ,any way kamuulize man utd alifikaje Europa last season na alikuwa anaongoza group[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kundi lako anapita club brugge na psg... Endelea kupiga mdomo kama chuchunge
Peke yke ndio namuhofia others kawaidaBeki zetu zinabidi ziwe makini sana na federico chiesa, ni mchezaj anayelazimisha nafasi
Hiv hesgol inasumbua mie tu huku nilipo au wote duuu