Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi chao
20210925_133516.jpg
 
Yes amesikia lkn hichi kikosi hakina sub nzuri... Maana hao alio wapanga ndio kila kitu kamaliza
Kwenye big games, Ziyech ni sub nzuri, Silva kwa mabeki anatosha na Mbele Havertz atatosha. Odoi huwa anakuwa mzuri akiingia kama Sub, Alonso najua an pumzi ya kucheza hadi mwisho. Nina wasiwasi na Saul
 
Kwenye big games, Ziyech ni sub nzuri, Silva kwa mabeki anatosha na Mbele Havertz atatosha. Odoi huwa anakuwa mzuri akiingia kama Sub, Alonso najua an pumzi ya kucheza hadi mwisho. Nina wasiwasi na Saul
Ktk sub mabeki na washambuliaji hakuna shida. Silva, Chalaboah, Ben, wote hawa wako poa!


Ata huko mbele kwa Ziyench, Kai na Odoi.


Kasheshe iko kwa Mids...


Yaani kwa Saul, Reuben!
 
Ktk sub za viungo kuna Saul na Reuben. Hawa sio wazuri sn. Ktk mabeki tuko vzr na huko mbele tuko vzr. Shida iko hapo kati tu!


Ila ukisikia watu kukimbia sn ni leo! Yaani Kante na Kovacic watakimbia leo ni balaa!
Kiungo possibly ataingia mmoja tu kwa dk chache RLC anatosha, kaonyesha kasharudi kwenye form yake anagalau kucheza few minutes
 
Tuchel hiki kikosi alichopanga kafanya kufuru aisee sijui man city atatokea wapi? Chelsea raha Sana City ameshakufa mapema.
 
Viungo wakichoka au kuumia tunabadilisha gia angani, tunaenda na 3-4-2-1
System ni ile ile tu ni 3+4+3 isipokuwa TT anahitaji nguvu sn toka kwa Kovacic na Kante ya kupanda na kushuka. Hasa kuipush City ili mpira uchezwe ktk half yao na Ku win kila kitu mpk possession
 
Kipindi cha pili tutapata tu goal, Tuchel namkubali sana kwenye kurekebisha makosa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom