Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alonso kushambulia - 70%
Alonso kukaba - 30%

Nadhani pia TT anampanga Alonso kuongeza idadi ya washambuliaji ndani ya box la mpinzani.

Sasa Ziyech, Kai, Mount, Odoi hawafungi magoli wala hawapeani assist wenyewe na zaidi hawampi assists Lukaku.

Lazima Alonso apangwe kusaidia kuongeza mashambulizi na ikiwezekana kufunga.

Ni kitu cha ajabu sana tunaenda kucheza mechi karibia ya 7, Kai, Ziyech, Mount, Odoi hawajampa assist ya Goli Lukaku.

Nikiangalia ile front 3 ya Liverpool, magoli yanatokea kila upande kwa Mane, Jota/Firmino na Salah.

January tuingie sokoni tusajili LW na RW zenye uwezo wa kufunga magoli 10+ na asists angalau 10+

SAUL tunamtegemea kama fabrigas mwingine atupe asists 10+ kutoka eneo ka katikati.
Saul hategemewi kuja kutoa assist , kwanza ukijakuangalia stats zake utaelewa huyu kaja kuwasaidia kova,jorg na kante

Mane yupi unayemzungumzia mkuu huyu huyu wa sasa au wa misimu miwil ya nyuma same to firminho
 
Jana niliangalia mpira toka kipindi cha kwanza adi mwisho. Niliyoyaona ni kama ifuatavyo:

1. Odoi Jana kachezo ovyo sana. Siyo yule odoi wa Sarri. Anapewa pasi za wazi anaishia kupoteza. Huyu dogo inabidi ajitafakari kwa uchezaji wake.

2. Cheek jana kacheza vizuri sana. Kwangu dimba la kati aliweza kulimanage ipasavyo.

3. Saul ni swala la Muda tu he is great player ata adapt very soon.
4. Ziyech huyo jamaa ahitaji mazoezi ya nguvu jamaa anazidi kupotea tu anapoteza mipira ni legelege. Kwakweli anahiji kubadilika.
5. Cholaba ni mzuri anajua kulinda. Uchezaji wake ni wa kiutu uzima ingawa bado anahiji kucheza na senior players ili awe beki kisiki.
6. Sarr ni beki mzuri Jana amekaza ila ajisahau na Yeye Yeye anahiji kuchomwekwa na senior players ili awe mtamu zaidi.

All in all they did very well.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
1. Odoi nahis nafasi ya wingback inamchosha Sana ndo maana nafikiri hachezi vzuri kivile game y Jana tulianza na 4-3-3 baadae tukaswich to 3-4-3.

2. Mengine yote nakubaliana na ww kuhusu ziyech na Saul ...ukisikia maoni ya wadau walivyomponda Saul humu km vile alicheza hovyo Sana n wkt si kweli km wanavyotuaminisha
 
Msimu 21/22 (All competitions)

Mane = 3 goals
Firmino = 1 goal
Jota = 2 goals
Salah = 5 goals
Origi = 1 goal
Minamino = 1 goal
------------------------------
TOTAL = 13 GOALS
------------------------------

Werner = 1 goal
Lukaku = 5 goals
Pulisic = 1 goal
Kai = 1 goal
Ziyech = 0
Mount = 0
Odoi = 0
------------------------------
TOTAL = 8 GOALS
------------------------------

Safu yetu ya ushambuliaji pale mbele ukimuondoa Lukaku ni MBOVU MBOVU na itatucost baadae.

Huko mbeleni kuna Mechi Lukaku atakosa assist kutoka kwa James, Azipi tutatoka mikono mitupu au kufungwa.

Mechi 5 mshambuliaji wa club kubwa kama the BLUES unakosa kufunga wala kutoa assist?

Huyo Mane aliyechoka anafunga magoli, Firmino kacheza mechi 1 na sub 1 amefunga goli.

January tuingie sokoni tusajili machine ya kusaidiana na Lukaku pale mbele
Minamino 2....sio moja
 
Saul hategemewi kuja kutoa assist , kwanza ukijakuangalia stats zake utaelewa huyu kaja kuwasaidia kova,jorg na kante

Mane yupi unayemzungumzia mkuu huyu huyu wa sasa au wa misimu miwil ya nyuma same to firminho
We jamaa .....Mane unamuonajeee

Mane...mechi 5..magori 3...ukitoa sawa na huyo lukaku wenu.,.bado hujamzungumzia Salah...na Jota...kiufupi safu ya ushambuliaji ya Liverpool ni nzurii kuliko ya Chelsea
 
We jamaa .....Mane unamuonajeee

Mane...mechi 5..magori 3...ukitoa sawa na huyo lukaku wenu.,.bado hujamzungumzia Salah...na Jota...kiufupi safu ya ushambuliaji ya Liverpool ni nzurii kuliko ya Chelsea
Mane sio km Yule WA misimu iliyopita... huyu WA sasa nafasi kibao goli moja
 
Odoi mnamponda lakini wing back sio nafasi yake ndio maana anapwaya hata yeye amekiri haipendi hiyo position yule mpe left wing utampenda but kwa sarr kwangu ni mchezaji wa kawaida na kacheza kawaida Sana
Jana hakukuwa na wing backs formation ilikuwa 4-3-3. Odoi alicheza kama winga ambayo ndio nafasi yake haswa

Ziyech ------------------ Werner ------------------------Odoi

Saul -------------------------RLC -------------------------- Kante

Chilwell --------------Sarr -------- Chalobah ------ James

-------------------------------KEPA-----------------------------------
 
Challobah bado mdogo ana mda wa kujifunza ata hao mabeki wakubwa washawah fanya makosa wakiwa makinda thus y kocha anachanganya matured na hawa madogo so far challobah kama akiendeleza kucheza na matured defenders atakuja kuwa mzuri
its matter of time
Na ndio maana nikatoa mfano wa Christensen 5 years ago hakuwa hivi
 
Jana hakukuwa na wing backs formation ilikuwa 4-3-3. Odoi alicheza kama winga ambayo ndio nafasi yake haswa

Ziyech ------------------ Werner ------------------------Odoi

Saul -------------------------RLC -------------------------- Kante

Chilwell --------------Sarr -------- Chalobah ------ James

-------------------------------KEPA-----------------------------------
Lkn Baadae wakabadilika pia na kurudi 3-4-3 nafikiri kipindi cha pili
 
Msimu 21/22 (All competitions)

Mane = 3 goals
Firmino = 1 goal
Jota = 2 goals
Salah = 5 goals
Origi = 1 goal
Minamino = 1 goal
------------------------------
TOTAL = 13 GOALS
------------------------------

Werner = 1 goal
Lukaku = 5 goals
Pulisic = 1 goal
Kai = 1 goal
Ziyech = 0
Mount = 0
Odoi = 0
------------------------------
TOTAL = 8 GOALS
------------------------------

Safu yetu ya ushambuliaji pale mbele ukimuondoa Lukaku ni MBOVU MBOVU na itatucost baadae.

Huko mbeleni kuna Mechi Lukaku atakosa assist kutoka kwa James, Azipi tutatoka mikono mitupu au kufungwa.

Mechi 5 mshambuliaji wa club kubwa kama the BLUES unakosa kufunga wala kutoa assist?

Huyo Mane aliyechoka anafunga magoli, Firmino kacheza mechi 1 na sub 1 amefunga goli.

January tuingie sokoni tusajili machine ya kusaidiana na Lukaku pale mbele
Kuna magoli hujayaweka hapo, tumeshafunga goli 14 hadi sasa. Lukaku kafunga 3 sio 5
  1. Lukaku 4
  2. Silva 1
  3. Rudiger 1
  4. Pulisic 1
  5. Alonso 1
  6. Chalobah 1
  7. Kovacic 1
  8. Kante 1
  9. James 1
  10. Havertz 1
  11. Werner 1
Total 14
Hii inaifanya Chelsea kuwa ndio timu pekee EPL kufunga magoli kwa kuwatumia wacheza wengi zaidi. Magoli 13 kufungwa na wachezaji 11 tofauti. Kwa maana nyingine squad nzima kila mchezaji ana goli

Pia kule mbele kuko vizuri tatizo tu Kocha atafute zile chances za msimu uliopita mbona zimetoweka??
Form ya Mount, Ziyech, Odoi, Chilwell zimeenda wapi?
 
Jana niliangalia mpira toka kipindi cha kwanza adi mwisho. Niliyoyaona ni kama ifuatavyo:

1. Odoi Jana kachezo ovyo sana. Siyo yule odoi wa Sarri. Anapewa pasi za wazi anaishia kupoteza. Huyu dogo inabidi ajitafakari kwa uchezaji wake.

2. Cheek jana kacheza vizuri sana. Kwangu dimba la kati aliweza kulimanage ipasavyo.

3. Saul ni swala la Muda tu he is great player ata adapt very soon.
4. Ziyech huyo jamaa ahitaji mazoezi ya nguvu jamaa anazidi kupotea tu anapoteza mipira ni legelege. Kwakweli anahiji kubadilika.
5. Cholaba ni mzuri anajua kulinda. Uchezaji wake ni wa kiutu uzima ingawa bado anahiji kucheza na senior players ili awe beki kisiki.
6. Sarr ni beki mzuri Jana amekaza ila ajisahau na Yeye Yeye anahiji kuchomwekwa na senior players ili awe mtamu zaidi.

All in all they did very well.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata msimu uliopita Odoi alicheza Vizuri, labda kwa sababu ya kukosa minutes ndio maana kaporomoka??
Saul kama ni swala la muda basi utakuwa mwingi sana, nyota njema huonekana asubuhi. Angekuwa na option nyingi kama Werner tungemvumilia. Chelsea haivumilii makocha sembuse wachezaji. Tunahitaji matokeo makubwa sasa
Chalobah anaonyesha nyota njema asubuhi, ila kwa Sarr, sidhani kama atafit kwenye style ya uchezaji wa Chelsea, more power less tactical, nimesoma player ratings ya Fan Nation.com wao wamempa 5/10 na huku Chilwell wakimpa 4/10 ambayo mimi naona sawa kwa sababu jana niliona uchezaji wao mwanzo mwisho
Ziyech alianza msimu uliopita vizuri ila msimu huu baada tu ya Preseason kalogwa huyo
Kwa maoni yangu jana aliwashangaza wengi kwa kuonyesha kandanda safi ni RLC
Kepa pia naye kajitahidi japo lile goli angekuwa Mendy angeonyesha juhudi, Kepa yeye aliduwaa tu
James was superb kwenye kukaba, kuna kama magoli mawili ya wazi alisaidia kuokoa
 
It’s about time we all give maximum respect to this guy! His name is:

K- Keep
E- Every
P-Penalty
A- Away

#Kepa #Chelsea
IMG_20210923_221353_062.jpg
 
🚨BREAKING: Two Chelsea games has been moved

According to latest reports, Two of Chelsea’s games billed for the month of November has been rescheduled.

Chelsea’s trip to Leicester City and home game with Manchester United in November have been chosen for live TV coverage and thus rescheduled.

Chelsea’s game against the Foxes at the King Power Stadium will take place on Saturday 20 November and the kick-off has been brought forward to 12.30pm.

The following weekend, Chelsea will host Manchester United at Stamford Bridge, and that game has been moved a day later to Sunday 28 November. 🔵
 
🕓 Days since PL clubs last lifted a trophy:

🔵 Chelsea - 43
🏆 Manchester City - 124
🦊 Leicester - 132
🔴 Arsenal - 419
🔴 Liverpool - 425
🔴 Manchester United - 1583
??
 
Msimu 21/22 (All competitions)

Mane = 3 goals
Firmino = 1 goal
Jota = 2 goals
Salah = 5 goals
Origi = 1 goal
Minamino = 1 goal
------------------------------
TOTAL = 13 GOALS
------------------------------

Werner = 1 goal
Lukaku = 5 goals
Pulisic = 1 goal
Kai = 1 goal
Ziyech = 0
Mount = 0
Odoi = 0
------------------------------
TOTAL = 8 GOALS
------------------------------

Safu yetu ya ushambuliaji pale mbele ukimuondoa Lukaku ni MBOVU MBOVU na itatucost baadae.

Huko mbeleni kuna Mechi Lukaku atakosa assist kutoka kwa James, Azipi tutatoka mikono mitupu au kufungwa.

Mechi 5 mshambuliaji wa club kubwa kama the BLUES unakosa kufunga wala kutoa assist?

Huyo Mane aliyechoka anafunga magoli, Firmino kacheza mechi 1 na sub 1 amefunga goli.

January tuingie sokoni tusajili machine ya kusaidiana na Lukaku pale mbele
Upo sahihi mkuu,
Tatizo la safu ya ushambuliaji ni la muda mrefu Chelsea,Lukaku ndo anayeliziba.
Inabidi apatikane mtu wa kusaidiana na Lukaku.
Werner hafanyi tunayoyataka.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Breaking News
Mason Mount has gone 20 games for club & country without scoring.

They think We don't Know.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom