Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Match gani? Mwaka huu hii match ya 4... Umeshavuliwa chupi mara 3. Halafu bado unakuwa na guts za kuongea.
Mmeshapigwa wapaki bus,,,na bado.
Match gani? Mwaka huu hii match ya 4... Umeshavuliwa chupi mara 3. Halafu bado unakuwa na guts za kuongea.
Match imeisha?Mmeshapigwa wapaki bus,,,na bado.
Leo Kante hayuko kwenye form, zile recoverioes zake bado hatuzioni na ndizo zinazoletaga ushindi
Werner bado hajaleta kashkashi kule mbele, kuna kounta moja kaharibu kwa kwenda wide badala ya kuingia kati
Jorginho yuko vizuri lepo. Alonso analazimishwa kubaki nyuma na tunajua Alonso akiwa nyuma sio mzuri sana kama akiwa mbele
Hii mechi leo city wamepania ile mbaya kwa style wanayocheza
Tutashinda kwa mbinu za TT, kama hatafanya kitu, tutatoa droo au kufungwa kwa minor margin
man city kanichania mkeka manina....
Match imeisha?
Ile match aguero anakosa penalty ulikuwa hujazaliwa?Unataka uendelee yafike 5
Zimekupeleka wap hzo pas ssa
Yeah mkuu... wamejitahidi... Tusirudie tena kuchezesha mid watatu kwenye game kubwa.... bora waanze wawili mmoja aongezeke baadae...Naona live score tumeshafungwà 1.
Kante angekuwa form mechi ingeisha mapema sana.Labda pia wapongezwe CITY kama wanakaba vizuri leo.
Nafuatilia mechi live score
Leo mmekamatwa vilivyo amna pakupumulia..city anapiga mpr yy tuNo shot on target
Hahah bora tumepigwa city manyumbu yamepigwa na Aston villa ambaye tulimgonga 3.Mshakazwa eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]