Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Wako nyumbani wanapaki bus 😄 wakina lukaku wanazurura tu,,,kweli mpira ni bahati tu, uefa hawakustahili ushindi.
Pain killer kalio lako ww unaweza ukatuambia ss tuna kaaa nyuma? Watu walio kuvua chupi lako mara 3 kweli jitikise uone ninavyokoloweka maji ya DuwasaMbwa nyie mnapaki basi ,funguken muone mvua ya magoli[emoji23][emoji23][emoji23]
KTBFFH
Kalichukue kombe ssa si hatukustahili ?Wako nyumbani wanapaki bus [emoji1] wakina lukaku wanazurura tu,,,kweli mpira ni bahati tu, uefa hawakustahili ushindi.
Tumempiga huyo mchumba mara 3....Wako nyumbani wanapaki bus [emoji1] wakina lukaku wanazurura tu,,,kweli mpira ni bahati tu, uefa hawakustahili ushindi.
Kalichukue kombe ssa si hatukustahili ?
Siku zote mnatubahatisha tu ,mpira anacheza city ...
City ana press hatari ,....
Kuna timu moja tu dunian , Manchester city
Shot on target ngapi?Pasi 300+ ndani ya 1st halfView attachment 1952261
Tumempiga huyo mchumba mara 3....
Subiri tumpige na leo uje uendeleze Ngonjera zako.
Short on target = 0Siku zote mnatubahatisha tu ,mpira anacheza city ...
City ana press hatari ,....
Kuna timu moja tu dunian , Manchester city
Swa ww level yako spurs na AstonvillaNdio mlibahatisha tu. Ninyi level yenu Man u na Liverpool.
Unanwa ww s bureSiku zote mnatubahatisha tu ,mpira anacheza city ...
City ana press hatari ,....
Kuna timu moja tu dunian , Manchester city
Match gani? Mwaka huu hii match ya 4... Umeshavuliwa chupi mara 3. Halafu bado unakuwa na guts za kuongea.Angalia records walizokutana
Zimekupeleka wap hzo pas ssaPasi 300+ ndani ya 1st halfView attachment 1952261
Muulize shot on target ngapi?Zimekupeleka wap hzo pas ssa
Short on target = 0