Alonso kushambulia - 70%
Alonso kukaba - 30%
Nadhani pia TT anampanga Alonso kuongeza idadi ya washambuliaji ndani ya box la mpinzani.
Sasa Ziyech, Kai, Mount, Odoi hawafungi magoli wala hawapeani assist wenyewe na zaidi hawampi assists Lukaku.
Lazima Alonso apangwe kusaidia kuongeza mashambulizi na ikiwezekana kufunga.
Ni kitu cha ajabu sana tunaenda kucheza mechi karibia ya 7, Kai, Ziyech, Mount, Odoi hawajampa assist ya Goli Lukaku.
Nikiangalia ile front 3 ya Liverpool, magoli yanatokea kila upande kwa Mane, Jota/Firmino na Salah.
January tuingie sokoni tusajili LW na RW zenye uwezo wa kufunga magoli 10+ na asists angalau 10+
SAUL tunamtegemea kama fabrigas mwingine atupe asists 10+ kutoka eneo ka katikati.