passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,527
- 12,507
Chalobah kacheza vizuri sanaYaani kweli bado wanafunzi hao akina Sarr na Chalobah
Yaani Kepa akirudishiwa mpira hadi awakumbushe watanuke ili awape pasi
Chalobah kacheza vizuri sanaYaani kweli bado wanafunzi hao akina Sarr na Chalobah
Yaani Kepa akirudishiwa mpira hadi awakumbushe watanuke ili awape pasi
Hiv Aston villa unamchukuliaji? Tulimpiga 3 lakini walitusumbua Sana imagine leo unamuwekea kikosi Cha pili unafikiri unategemea niniHongeren cheltakooo wazee wa kikos kipana...kushinda 4-3...MUNGU MKUBWAwacha inyeshe tujue panapovuja
Tactically bado sana, mpira sio tu kucheza vizuri, mpira wa kisasa na tactical point of viewChalobah kacheza vizuri sana
Saul tumepigwa chief hafikii hata Anavyocheza RLC, Chilwell acha akae bench Ziyech naungana na wewe shughuli hakunaHONGERENI SANA THE BLUES KWA USHINDI WA JANA.
Sikubahatika kuingalia hiyo mechi, ila mpaka imefika matuta inaonekana shughuli ilikuwa nzito.
SAUL alichezaje?
RLC inabidi aje kama backup badala ya Saul kama ameshndwa kung'aa Carabao siion nafas yake ya kung'aa premier wala UEFA in short it's a loss this time tofaut kwa KovacicHahaha bahati nzuri SAUL amekuja kwa mkopo tutamrudisha Athletico, bahati mbaya ni kwamba machine zetu Kante, Kovacic, Joginho bila usaidizi zitaendelea kuchoka.
Ziyech mchezaji wa timu caliber ya Ajax anakuwa one man show. Kwa THE BLUES ni team work.
Ungewapa man u Tu manNinyi jamaa hopeless kabisa, nimemtema Man U, nikawaamin sasa mmefanya upuuzi gani huuView attachment 1949157

Huyo Saul hata kucheza Karabao hafai labda ile fitness team.HONGERENI SANA THE BLUES KWA USHINDI WA JANA.
Sikubahatika kuingalia hiyo mechi, ila mpaka imefika matuta inaonekana shughuli ilikuwa nzito.
SAUL alichezaje?
Jana niliangalia mpira toka kipindi cha kwanza adi mwisho. Niliyoyaona ni kama ifuatavyo:HONGERENI SANA THE BLUES KWA USHINDI WA JANA.
Sikubahatika kuingalia hiyo mechi, ila mpaka imefika matuta inaonekana shughuli ilikuwa nzito.
SAUL alichezaje?
Mkuu kwani kuna mtu alikutuma Kubetia ChelseaNinyi jamaa hopeless kabisa, nimemtema Man U, nikawaamin sasa mmefanya upuuzi gani huuView attachment 1949157





mi pia Chelsea ndo imeniangushaNinyi jamaa hopeless kabisa, nimemtema Man U, nikawaamin sasa mmefanya upuuzi gani huuView attachment 1949157
Odoi mnamponda lakini wing back sio nafasi yake ndio maana anapwaya hata yeye amekiri haipendi hiyo position yule mpe left wing utampenda but kwa sarr kwangu ni mchezaji wa kawaida na kacheza kawaida SanaJana niliangalia mpira toka kipindi cha kwanza adi mwisho. Niliyoyaona ni kama ifuatavyo:
1. Odoi Jana kachezo ovyo sana. Siyo yule odoi wa Sarri. Anapewa pasi za wazi anaishia kupoteza. Huyu dogo inabidi ajitafakari kwa uchezaji wake.
2. Cheek jana kacheza vizuri sana. Kwangu dimba la kati aliweza kulimanage ipasavyo.
3. Saul ni swala la Muda tu he is great player ata adapt very soon.
4. Ziyech huyo jamaa ahitaji mazoezi ya nguvu jamaa anazidi kupotea tu anapoteza mipira ni legelege. Kwakweli anahiji kubadilika.
5. Cholaba ni mzuri anajua kulinda. Uchezaji wake ni wa kiutu uzima ingawa bado anahiji kucheza na senior players ili awe beki kisiki.
6. Sarr ni beki mzuri Jana amekaza ila ajisahau na Yeye Yeye anahiji kuchomwekwa na senior players ili awe mtamu zaidi.
All in all they did very well.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi nu Man U damu, ila kwa mwenendo wa Man niliwakataa kabisa, nikawaamini ChelseaMkuu kwani kuna mtu alikutuma Kubetia Chelsea
Kwann hukusoma alama za wakati kama mimi. Nilichezwa machale kwa timu yangu. Nilitaka niweke ashinde au adrow. Lakini moyo Ukagoma nikaacha. Leo nimeamka nakuta simu imejaa SMS murua kabisa.
Kwa mara ya kwanza natia timu 15. Kwa wakati mmoja.
My principal kwenye kubeti nikataka pesa ya muhindi Sibetii mapenzi ya timu . Nakuwa serious na pesa ya muhindi kwasababu muhindi anawala vijana kimasiara.View attachment 1949220View attachment 1949223
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app



Jana tumecheza 433Odoi mnamponda lakini wing back sio nafasi yake ndio maana anapwaya hata yeye amekiri haipendi hiyo position yule mpe left wing utampenda but kwa sarr kwangu ni mchezaji wa kawaida na kacheza kawaida Sana
Mashabiki wa chelsea tunapenda kuwahukumu wachezaj katika mechi 2,Huyo Saul hata kucheza Karabao hafai labda ile fitness team.
Yaani
Barkely 1 sawa na Saul 5.
RLC 1 sawa na Saul 10
Chilwel kwa sasa inaonekana kama confidence yake imeshuka, anahitaji mechi chache iliarudi katika kiwango chake,Saul tumepigwa chief hafikii hata Anavyocheza RLC, Chilwell acha akae bench Ziyech naungana na wewe shughuli hakuna
Challobah bado mdogo ana mda wa kujifunza ata hao mabeki wakubwa washawah fanya makosa wakiwa makinda thus y kocha anachanganya matured na hawa madogo so far challobah kama akiendeleza kucheza na matured defenders atakuja kuwa mzuriTactically bado sana, mpira sio tu kucheza vizuri, mpira wa kisasa na tactical point of view
Christesen miaka 5 kwenda nyuma naye alikuwa akicheza vizuri kama Chalobah lakini alikosa tactical skills na ndio maana walikuwa wanaruhusu mashambulizi kirahisi tofauti na wakiwemo akina Rudiger na Silva
Na kitu cha pili nilichokiona, Chalobah akiwa na wazoefu akina Silva na Rudiger simply anafunikwa, wakicheza wenyewe kama leo ndio utaona the deference
Simply kwa mabeki aliyecheza vizuri ni James, Chalobah kawaida na Sarr kawaida, Chilwell poor
Katikati aliyecheza vizuri ni Loftas Cheek wengine kawaida na hasa Saul very poor
Kule mbele aliyecheza vizuri ni Werner, Ziyech poor
Full list player rattings
- Kepa 8/10
- James 9/10
- Chalobah 7/10
- Sarr 7/10
- Chilwell 5/10
- Saul 5/10
- Kante 6/10
- RLC 8/10
- Werner 8/10
- Ziyech 6/10
- Odoi 6/10
Jana alikitifua sana kati hapo.Chilwel kwa sasa inaonekana kama confidence yake imeshuka, anahitaji mechi chache iliarudi katika kiwango chake,
Alonso kw sasa yuko katika kiwango cha juu ila kuna wakat alonso huwa tunamkataa, naimani kuna game huko mbeleni tutamuona chilwel akiwa ameanza
Saul ni mchezaj mzuri, anahitaji mda ili aendane n soka la kingereza
Ziyech ni mchezaj mzuri sana ila injury ndio zinamfanya asiwe na mwendelezo mzuri, pale kiwango chake kinapoanza kuonekana ndipo unakuta anapata majeruhi
Loftus cheek ni mchezaj mzuri na alikuwa anakuja vizuri wakat wa babu sarri ila majeruhi aliyoyapata ndio yalimfanya kiwango chake kishuke ila ni mchezaj mzuri anayeweza tupa option nyingi hasa hasa wakat huu ambapo inabid tumanage gametime ya ngolo