Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndiyo, yani natamani nione Werner akianza na Lukaku ili nione atatengeneza nafasi tena kwa mfungaji kama msimu uliopita maana Lukaku mwenyewe anapewa pasi za mwisho na Azpilicueta tu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Real hicho kitu hata mimi nimekiona nilikuwa natamani nimuone werner akicheza na lukaku kama ata kuwa na ule uwezo wa kutemfemeza nafac kma msimu wa nyuma, chelsea mpaka sasa wamecreate chance chache sana
 
Ni sawa kabisa Kaka, nami natamani sana iwe hivyo ili Chelsea iendelee kuwa timu tishio duniani kote.

Tatizo mpira huwa unadunda Chifu.

Hivi uliona ile mechi tuliyocheza na Aston Villa ilivyokuwa ngumu sana kwetu?

Unajua hadi 90 kipenga cha mwisho Chelsea tulipata shuti 1 tu golini mwa Aston Villa ambapo Lukaku aliitumia nafasi hiyo hiyo toka kwa krosi ya Azpilicueta?

Unadhani kwanini mwaka huu timu yetu imekuwa ikitengeneza nafasi chache sana za kufunga magoli ktk EPL tofauti na mwaka jana?
Sidhani kama unaongelea mechi y Aston Villa au Zenit, mana Mechi y Aston vila tulishinda goli tatu, iweje useme 90min tulipga ontarget 1
 
Sawa Chief ila mwaka jana timu nyingi za TOP 4 zilikuwa hoiii, Liverkuku majeruhi kibao tangu msimu unaanza.

Kwa sisi pale tunapotakiwa tushinde mechi moja tuongeze ligi tunafanya kinyume chake tunapoteza mechi mfulilizo. Tulimpa city gap kubwa sana la kujiimarisha

Kwa nyumbu kama kawaida masihara mengi tangu msimu unaanza.

Msimu huu Liverkuku na sisi tumejipanga vema kuanzia mwanzo sioni tukitoa gap la kupoteza mechi kizembe mfululizo.

City ajipange haswa msimu huu hakuna gap la dezo dezo
Na hii fitness ya Liver na Chelsea na hata Man United ndio itakayowaondolea City confidence, natumaini mwaka huu watafanya blunders nyingi
 
Real hicho kitu hata mimi nimekiona nilikuwa natamani nimuone werner akicheza na lukaku kama ata kuwa na ule uwezo wa kutemfemeza nafac kma msimu wa nyuma, chelsea mpaka sasa wamecreate chance chache sana
Uzuri NI kwamba nyuma kumebalance vzuri shida inakuja mbele kwenye chance creation lkn uzuri Lukaku anaziconvert hizo zote....game km hizi msimu uliopita bila Lukaku unakuta zingeisha 0-0, au 1-0
 
Mkuu kwanini jana Southampton walinyimwa penati ya wazi kabisa dhidi ya Man City, inamaana mbali na VAR kuwepo lakini bado mbeleko hazikwepeki?
Ile penalty event sikuona, mechi nilikuwa naangalia nusu nusu na shughuli nyingine. Ila nikangalia kwenye replay, Kaylee Walker kafanya foul ya wazi, na kuna siku mashabiki wataandamana hizi VAR zifutiliwe mbali kabisa
 
Jana mlimlipa pesa ngapi yule refa mana alijiongezea muda wake mwenyewe
Kawanyima penati Southampton, kaongeza muda mwingi aana, marefa wa EPL wana shida mahali ndiyomaana huwa wanatetewa sana na FA na vigumu kuwakuta wakichezesha kwenye michuano mingine ya Ulaya kama UEFA n.k

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom