Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo Chelsea hawako kwenye form
Silva, Rudiger na Christensen tu ndio wanaonekana wako serious hasa Silva yuko very very superb
Mount hovyo kabisa, yuko legelege na anapoteza mipira hovyo
Jorginho yuko ana error za kijinga
Kante anahitajika sana
Kule mbele wamuwahishe tu Werner
Infact ningamshauri TT awaingize Werner na Odoi au Ziyech badala ya Havertz na Mount
Pia amuingize Kante badala ya Jorginho au Kovacic
 
Hii timu haina tofauti na Yanga.

Yanga inaamini ushindi utaletwa na manara hivi vinabo vinaamini ushindi upo na mendy utadhani tano walizopigwa kipa alikua kepa
 
Harvetz - Lukaku - Mount

Poor combination, TT analazimisha vitu ambavyo haviwezi kutokea.

Harvetz anacheza kivyake vyake sioni mahusiano yake na Lukaku, Mount anajibitulia tuu.

Harvetz anatakiwa awe sub ya Lukaku, Werner aanze kushoto.

Kuna ulazima wa kuingia sokoni kusajili mawinga wa kushoto na kulia zinazojua kufunga magoli na zaidi kumlisha Lukaku mipira.
Makocha wakishakaa sana wanakuwa na wachezaji wao mfukoni. TT naye kashawapata wa kwake
 
Harvetz - Lukaku - Mount

Poor combination, TT analazimisha vitu ambavyo haviwezi kutokea.

Harvetz anacheza kivyake vyake sioni mahusiano yake na Lukaku, Mount anajibutulia tuu.

Harvetz anatakiwa awe sub ya Lukaku, Werner aanze kushoto.

Kuna ulazima wa kuingia sokoni kusajili mawinga wa kushoto na kulia zinazojua kufunga magoli na zaidi kumlisha Lukaku mipira.
3 4 2 1 haina mawinga ina wingbacks.
 
Ahabiki plastiki la Arse8 linapojifariji mbele ya mabingwa wa Ulaya

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kusema kweli nilidhani chelsea inapata goli mapema sana (siangalii mechi) ukizingatia Santo anaonyesha bado kuna vitu hajaviweza.

Nimekuja uzi wenu nakuta mnalalamika mendy hayupo hivyo mechi ngumu. Sasa kipa na kuscore wapi na wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom