42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Ndo na mm nimeshangaa.Sidhani kama unaongelea mechi y Aston Villa au Zenit, mana Mechi y Aston vila tulishinda goli tatu, iweje useme 90min tulipga ontarget 1
Ndo na mm nimeshangaa.Sidhani kama unaongelea mechi y Aston Villa au Zenit, mana Mechi y Aston vila tulishinda goli tatu, iweje useme 90min tulipga ontarget 1
Naomba na Kante aanzeKepa anaanza leo [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Breaking: Kepa Arrizabalaga starts for #Chelsea against Tottenham Hotspur.
[via iG: cfcnewspage]
Ndio kwenye mechi UEFA kama unakumbuka aligongana na mchezajiMendy ata sub hayupo, ama kapata shida.
Kepa kaanza? Haki ya nani tuko wachezaji 10 uwanjani [emoji849]11 yetu leoView attachment 1945000
Itakuwa kila mpira ukielekea golini kwetu ni mwendo wa kubinya korodani tu ili tusifungwe mwishowe hadi ziume na kupasuka [emoji2960][emoji1732][emoji28]Mamaaamae sitamani kuangalia hii mechi, nani anajua kilichompata Mendy mpaka benchi hayupo.?
Penati sina shaka naye kabisa ila kuokoa michomo ndiyo daaaah...[emoji2960]Tuacheni kulalamika kabla hata mechi haijaisha.
Keppa alitupa Uefa super cup, leo anatupa point 3.
Derby Derby DerbyTunafahamu hilo na tunamkubali sana Kepa ila sio kwa mechi ya leo, Kane, Son Dele wote wapo ndani
Hip Injury hatujui atarudi liniMendy ata sub hayupo, ama kapata shida.
Mendy huenda kaumia game ya uefaTT leo kazingua
Penalty ile ya kubahatisha huwezi kufananisha na mechi inayohitaji saves nyingi tena bila kubahatisha, leo hata tukishinda hatuna clean sheetTuacheni kulalamika kabla hata mechi haijaisha.
Keppa alitupa Uefa super cup, leo anatupa point 3.