Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tujipange kisaikolojia kabisa, siku tukifungwa Zile NYUMBU na matakataka ya London zitajazana humu mpaka tukomae. Wana hasira sana na sisi.
Hasira za mkizi furaha kwa mchukuzi, huweziamini hata huku mtaani wanasema kuwa Chelsea yuko vizuri, hivyo wanaapa siku akifungwa tu nao ni shangwe, nderemo na vifijo [emoji1732][emoji28]
 
Saivi tunawakera hadi wameanza kujenga chuki binafsi hahahaha ..yani ukienda kwenye majukwaa yao ni Chelsea fans wamejaa tu ni mwendo wa kuwakera hadi kieleweke hahahaha

Ila siku tukipigwa tujiandae aise, tutavamiwa hadi majumbani kwetu hahaha
Usiogope kutesa kwa zamu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Most clean sheets in all competitions by teams in Europe's big five leagues since Thomas Tuchel's first game in charge of Chelsea:

23 - Chelsea
16 - Man City
15 - Sevilla, Monaco
14 - Lille, Man Utd

Supercharged.
 
🚨Kai Havertz atoa neno.

🗣Siku zote chelsea ilikuwa klabu ninayoipenda ndani ya Uingeleza, kwaiyo wakati wananiitaji nilikuwa nafuraha, katika miezi ya mwanzoni kucheza kwa hii klabu haikuwa kweli (sikuwa sawa), walishinda makombe mengi. Porto ilikuwa usiku bora katika maisha yangu.

Sasa kweli najihisi sana kupata msaada wakati wanapoimba jina langu au nyimbo mpya ambayo nilikuwa nikiiskia sasa, kiukweli ni vizuri kuwaskia.

🚨Kai Havertz

🗣: “Chelsea was always my favourite club in England so when they had interest I was happy, the first months playing for this club was Unreal, they won so many trophies. Porto was the best night in my life.

Now I really feel the support when they sing my name or the new song which I’ve now heard. It’s really nice to feel them.”💙

Via: [Official Chelsea Podcast]
 
Vs Tottenham

------- WERNER - LUKAKU - KAI ------


ALONSO ---- JOGINHO --- SAUL ---- AZIPI


---- CHILWELL -- THIAGO -- CHRISTENSEN---


SAUL - Apewe nafasi nyingine ya kucheza, azidi kuimarika dakika 45 zitamtosha then kamanda kova in.

KANTE - Aendelee kupumzika apone kabisa, kuna mechi ya city kesho kutwa tunamuhitaji akiwa full fit.

CHILWELL - Na yeye acheze sasa au mnasemaje jameni?

Kwani chilwell na Alonso hawawezi kucheza pamoja?

RUDGER RUDGER RUDGER - Hii machine inatakiwa ipumzike, itaungua

PULISIC - Aendelee kula mshahara bure
Saul hawezi kuanza hiyo mechi ni London derby hiyo na kumbuka viungo wa tot wanakasi sana kama ataingia basi ni dakika za mwisho tunahitaji kujiakikishia ushindi kwanza
 
Hiyo game na Spurs ni must win game kwa vyovyote vile bila kujalisha spurs wako vizuri/vibaya kiasi gani ..tunapaswa kuishinda hii game ili tuendelee kutamba hapa jf na huko mtaani na duniani kwa ujumla.
CFC
Uzuri football haiendeshwi na bangi Kama hizi ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1631895731973.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom