Tujipange kisaikolojia kabisa, siku tukifungwa Zile NYUMBU na matakataka ya London zitajazana humu mpaka tukomae. Wana hasira sana na sisi.


ili uishi kwa furaha katika maisha yako usichukulie ushabiki very seriously na matani haya tunayotaniana humu
kipindi kile tunapata vipigo takatifu nilikuwa nawachora tu. Mpira ufunge na si kufungwaa🤪🤪🤪Hivi kweli, kambi yetu kwa sasa iko very very clean. Hakuna takata zinazozagaa tena. Hata wale wazamiaji wa kwenye misiba hawapo kabisa

🤪
kabisa mkuu tena wanakuja kwa adabu sanaAzpi hii kross yake ikitumika vizuri inaweza kuiokoa dunia na majanga mengi sana.The BLUES Hongereni kwa ushindi wa jana point 3 muhimu. Sikubahatika kuingalia hiyo mechi.
Partnership ya Azipi na Lukaku inazidi kuwa moto.View attachment 1938886
Saivi tunawakera hadi wameanza kujenga chuki binafsi hahahaha ..yani ukienda kwenye majukwaa yao ni Chelsea fans wamejaa tu ni mwendo wa kuwakera hadi kieleweke hahahaha🤪
kabisa mkuu tena wanakuja kwa adabu sana
The BLUES Hongereni kwa ushindi wa jana point 3 muhimu. Sikubahatika kuingalia hiyo mechi.
Partnership ya Azipi na Lukaku inazidi kuwa moto.View attachment 1938886
Wewe timu gani?Goli lenyewe baya ushindi wa kuunga unga vichapo vimekaribia nyie Chelwowo
Ndugu kuwa na adabu na bingwa wa bara zima la Ulaya.Goli lenyewe baya ushindi wa kuunga unga vichapo vimekaribia nyie Chelwowo
Sifa keroooo!Saivi tunawakera hadi wameanza kujenga chuki binafsi hahahaha ..yani ukienda kwenye majukwaa yao ni Chelsea fans wamejaa tu ni mwendo wa kuwakera hadi kieleweke hahahaha
Ila siku tukipigwa tujiandae aise, tutavamiwa hadi majumbani kwetu hahaha
Huyo liverkukuWewe timu gani?

Kuna wachezaji wengi wa kuuzwa sio Rudger the Germany machine.
Uza:-
Drinking water
Barkley
Loftus Cheek
Batshuayi
Pulisic
Ziyech
Duh ina maana hadi ulaya kuna waizi kumbe??! Sasa hizo medalist wanaenda kuuza au!? Hao itakuwa ni mashabiki wa manure au arse8 haoUsiku wa tarehe 14 wakati Reece James akiwa anaitumikia club yake kwenye mashindano ya UEFA wezi waliingia nyumbani kwake na kuiba vitu ikiwemo medali yake ya UEFA, EURO na UEFA SUPER CUP View attachment 1940569
Pole RJ, wamiba vitu hawajaiba medaliUsiku wa tarehe 14 wakati Reece James akiwa anaitumikia club yake kwenye mashindano ya UEFA wezi waliingia nyumbani kwake na kuiba vitu ikiwemo medali yake ya UEFA, EURO na UEFA SUPER CUP View attachment 1940569
Hata mimi niliwaza hivyo, labda manure kwa sababu ni juzi tu RJ alimtoa dada yake huko na kumleta ChelseaDuh ina maana hadi ulaya kuna waizi kumbe??! Sasa hizo medalist wanaenda kuuza au!? Hao itakuwa ni mashabiki wa manure au arse8 hao
Hata mimi niliwaza hivyo, labda manure kwa sababu ni juzi tu RJ alimtoa dada yake huko na kumleta Chelsea





