Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,622
Wanajeshi wanaoingia vitani leo
Sabu yuko nani na nani?Wanajeshi wanaoingia vitani leoView attachment 1937752
Huyu Mount atakuwa anamcheleweshea mpira lukaku.
Juve tarehe 29 SeptemberTukimnywa zenet nani mwingine anafuata??
Basi Tuchel alikuwa amemkosea kwa kumtumia central midfielder kipindi Cha Pre-season
Hakuna link ya kuangalia hii mechi tusaidianeZiyech anaweza kuwa OutCast hivi karibuni asipobadili uchezaji wake
Hakuna link ya kuangalia hii mechi tusaidiane
Hawa zenet wanazuia vizur sana wameziba nafasi zoteMpaka sasa no shot on target
Kabisa wameziba njia zote so inatakiwa Chelsea move ball quicklyNaomba ieleweke kuwa hii ni ligi ya mabingwa. Hawa jamaa wamekaza kwelikweli
Sema jamaa wanajitambua kabisa kwamba wanacheza na bingwa wa Ulaya nzima. Wanacheza kwa adabu, nadhani huenda tukawapiga chacheKabisa wameziba njia zote so inatakiwa Chelsea move ball quickly