juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Werner anahitajika hii game, movemeng zake ndio zitawafanya zenit waachie nafasi,
Shukurani chief
Amekosa nafasi ya pili au ubora wa beki na kipa kuokoa?Good job the Blues, big up for Likaku though he missed second goal at the last minute.
Three Points have taken and that's the only important issue.
Tuna imani Malmo hatotuangusha kwa Juve.
Taratibu watatuelewa tu, wacha tuneshane makali!FT 1-0
Hivi kumbe juve kacheza Jana janaa ..nilijua anacheza week ijayo Niko nyuma ya muda sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa bhana.
Juve kashinda 3-0Tuna imani Malmo hatotuangusha kwa Juve.
Hivi kweli, kambi yetu kwa sasa iko very very clean. Hakuna takata zinazozagaa tena. Hata wale wazamiaji wa kwenye misiba hawapo kabisaTujipange kisaikolojia kabisa, siku tukifungwa Zile NYUMBU na matakataka ya London zitajazana humu mpaka tukomae. Wana hasira sana na sisi.
Kwa msimamo ndio anaongoza kundi ..ina maana next tumpige ili tujihakikishie kuongoza kundi.Juve kashinda 3-0
Hahahaha tena tunavyowakera hivi tukipigwa sijui itakuwaje hahaTujipange kisaikolojia kabisa, siku tukifungwa Zile NYUMBU na matakataka ya London zitajazana humu mpaka tukomae. Wana hasira sana na sisi.
Hivi kweli, kambi yetu kwa sasa iko very very clean. Hakuna takata zinazozagaa tena. Hata wale wazamiaji wa kwenye misiba hawapo kabisa