Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Afu jamaa analipwa £52000 Kwa wiki...n thamani kubwa Kwa pesa zetu lkn ni ndogo kulinganisha n wenzie Kwa kazi anayofanya aisee bodi inabidi wamfikirie huyu mwamba

Kabisa aisee ivi kwa pesi yetu inakuwa kama ngapi ivi?
 
Kabisa aisee ivi kwa pesi yetu inakuwa kama ngapi ivi?
Nilikosea pale man Ila Kuna source flan nimeona analipwa £75k Kwa wiki ambayo ukiconvert aisee Kwa pesa zetu n zaidi ya mil 200 aisee....sema Labda na wao wanapatwa na mapanga ya Kodi huko km mapanga wanayokatwa waajiriwa WA serikali km hela z nssf, au hela z mikopo n.k.
 
Alonso naye heshima imevuka mpaka Makamu Captain anaingia kagoma kutoa kitambaa, Na captain mwenyewe anaingizwa bado ameng'ang'ania kuwa nacho.
HIvi jaman imekaaje hii ishu...?
Kwani aligoma kutoa kitambaa?
Tutajuaje kiongozi, maana siku zote tunaona kiongozi akiingia huwa anapewa kitambaa.
 
Wenye macho huwa wanaliona hili, licha ya kuwa hafungi lakini uwepo wake pale mbele ni muhimu sana.

Ana mikimbio ya hatari sana huyu jamaa.
Screenshot_20210912-224942_1.jpg
 
Ni kweli kabisa, hichi kitu nakiongea kila siku hapa, ukimuangalia Lukaku magoli mengi anafunga ni akiwa kwenye kasi.

Lukaku hapendi uchezaji wa kuingia Lundo golini/misongamano, anajikuta amezungukwa na mabeki wengi anakosa hata sehemu ya kushoot.

Werner apangwe na Lukaku, Kama unavyosema Werner hata asipofunga mchango wake ni mkubwa sana uwanjani.

Jamaa movements zake zinasomba mabeki, pia zinaacha magap wachezaji wengine kufunga. Kasi yake tuu inawafanya mabeki wa timu pinzani wasitamani kucheza naye.

Kai akicheza katikati anakuwa na speed kwenye ushambuliaji, akicheza pembeni unakuwa mpira wa misongamano.

Ziyech amejaliwa kasi na pass ila huyu jamaa mchoyo sana na zaidi hana nguvu na pumzi kucheza dakika 90.

Anacheza kwa machachari dakika kadhaa halafu anabaki kuwa mchezaji mtamazaji uwanjani. Ziyech ni mchezaji wa dakika 60 za mwanzo. Kumchezesha dakika 90 ni kucheza pungufu.

Pia nilichomsoma Ziyech akitokea bechi anachelewa kuingia kwenye mfumo wa kiuchezaji na mwenzake, anakuwa kama anacheza mwenyewe mwenyewe, nadhani ndio maana TT sasa hivi anamuanzisha mara nyingi kuliko sub

TT ni bonge la kocha nadhani anaendelea kuzifanyia kazi hizo combination hapo mbele, ila Werner sio mchezaji wa kuanzia benchi.
hakika kubwa an wenner yuko vizur wakina mount na havertz pivot yao na lukaku imekaa kiuchoyo ila wenner ataona kuliko alaumiwe kwa kukosa n bora atoe assist kwa big rom ila iz wing zetu pa1 na atacking midfielder naona zina umimi mwing
 
Mendy alikwisha thibitisha kuwa yeye ni shabiki wa Chelsea toka akiwa mdogo, hiyo ndio raha ya kutumikia klabu unayo ipenda lazima ujitume.

Refer kwa wachezaji kama Drogba, Lampard, Mount, James, Lukaku, Terry na wengine wengi hawa wanacheza kwa mapenzi makubwa kwa ajili ya klabu
Unajua adi sometimes najiuliza ivi huyu mendi anapokuwa golini wanakuwa mendi watatu au wanne. Hapa hakika tuna kipa.
 
🚨Azpilicueta on his contract expiring next summer🗣:

"I don't have any concerns and I feel fully trusted by the club. It is true my contract ends in June but I just focus on what's next. I love to be here and I feel loved. I aim to be here as long as I can."

🚨Azpilicueta on Chelsea's UCL approach🗣: "We don't get anything from being Champions. We start from zero."

Elite mentality !!💙
 
Conor Gallagher wins Crystal Palace's Player of the Month award. Much deserved!

🏟 3 games
⚽️ 2 goals
🅰️ 1 assist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom