Thomas Tuchel on Saul:
Amesema mwamba ni vigumu kwenda msimu mzima ukiwa na viungo watatu Kovacic, Jorginho na Kante ukizingatia unamashindano mengi, ikitokea kiungo mmoja ni majeruhi huku mwingine amesimamishwa mchezo unakuwa kwenye hatari.
Akaongezea kuwa binafsi na Chelsea pia tulikuwa tunamtaka vipindi tofauti tofauti mimi wakati nikiwa nafundisha timu nyingine lakini nilishindwa kumpata, Tulivyoona kuna uwezekano wa kumpata kwenye kipindi Cha usajili tukaona kwanini tusimchukue.
"Saul anaweza kucheza sambamba na Jorginho, Kante au Kovacic ni mchezaji mwenye uwezo wa kupiga pass nzuri, ana nguvu na ni mzuri kwenye kukaba. Ujio wake utatufanya tuwe tuna uwezo wa kuwapumzisha Kante na Jorginho kwa baadhi ya game zinazohitajika.
John dillinger
Chaos Master
Cash Money Forever
lembu
Mkohoti