Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,507
- 14,805
SEPTEMBER
Sio lazima kila mchezaji akabe tulichukua taji la epl chini ya mourinho kiungo mkabaji alikuwa matic only na fabregas alikuwa free akabi kazi yake ni kuassist tu kwa Diego costaTatizo la Ziyech, mvivu kukaba.
SEPTEMBER View attachment 1927542
Ujumbe wa nguvu
Hiyo kitu ndo kikichowashinda wabongo, akikumbuka nyumbani kuna viazi na maziwa wazazi watakua wamepika..then akikumbuka tena Baba mdogo na shangazi anavyompenda....mbioo anarudi TZ akisema anateseka wakati wenzie akina Yakub wa Nigeria walikaa Gheto Misri zaidi ya miezi 8 wakiwa wanatafuta namna ya kwenda kuonesha kipaji Ulaya.
Mpira wa sasa haupo hivyo, na sidhani kama mourinho kama alishawahi kucheza mpira bila timu nzima kukaba. Na kuitwa kiungo mkabaji haimaanishi kazi yako ni kukaba peke yako wenzako warelax, huyo wajina wako anarelax sana uwanjani.Sio lazima kila mchezaji akabe tulichukua taji la epl chini ya mourinho kiungo mkabaji alikuwa matic only na fabregas alikuwa free akabi kazi yake ni kuassist tu kwa Diego costa
Mpira wa sasa mabeki ni 9 na washjambuliaji ni 9Mpira wa sasa haupo hivyo, na sidhani kama mourinho kama alishawahi kucheza mpira bila timu nzima kukaba. Na kuitwa kiungo mkabaji haimaanishi kazi yako ni kukaba peke yako wenzako warelax, huyo wajina wako anarelax sana uwanjani.
Very inspirational!
Huyu jamaa namfeel sana amenifanya nimekuwa shabiki wa Denmark kwa sasa aisee. Na Denmark inavyopeleka moto ni hatariBeki Andreas Christensen alipoulizwa kuhusu kuongeza mkataba mpya akajibu:
"Siwezi kuongea sana, nadhani lipo kwenye mtazamo nzuri, nina furaha sana kuwa katika klabu hii na kwa Uingereza nahisi Chelsea ndipo mahala sahihi pa kuwepo".
Hizi zote tunashinda mbona ..sijaona takataka ya kutuzuiya hapo.SEPTEMBER View attachment 1927542
Under #Thomas_Tuchel, Chelsea have only conceded 10 goals in the last 23 games in which #Andreas_Christensen has played. 🤯Huyu jamaa namfeel sana amenifanya nimekuwa shabiki wa Denmark kwa sasa aisee. Na Denmark inavyopeleka moto ni hatari