Kwa nini mkuu Papaa GxWalahi Werner tumepigwa
Ajipange kwa assist lakini kwa kufunga naungana na wewe #TUMEPIGWA even though mwaka jana alikua ndo mchezaji aliyehusika kwenye magoli mengiJana kuna goli kakosa yeye na nguzo mbili za magoli kisha jamaa akapaisha juu
Huyu tuuze tu, yeye na injury ni kama kucha na kidole,More on Pulisic injury..
“Christian has a slight ankle injury,” USMNT coach Gregg Berhalter said after the game. “We’re going to get more info on it when he goes back to London, the severity of it.”View attachment 1930201
More on Pulisic injury..
“Christian has a slight ankle injury,” USMNT coach Gregg Berhalter said after the game. “We’re going to get more info on it when he goes back to London, the severity of it.”View attachment 1930201
Sabb ya kupata injury nying anakaa sana na mpira mguuni kuna sehem unakuta amekabwa na mabeki wawili lakini analazimisha kupitaHuyu tuuze tu, yeye na injury ni kama kucha na kidole,
Ana kipaji sema ndio yeye na injury hawaachani
Jamaa tumepigwa kwa sababu tulitegemea aje afunge magoli mengiJana kuna goli kakosa yeye na nguzo mbili za magoli kisha jamaa akapaisha juu
Sabb ya kupata injury nying anakaa sana na mpira mguuni kuna sehem unakuta amekabwa na mabeki wawili lakini analazimisha kupita
Huyy angekuwa anakaa na mpira kama hazard or grealish ingekuajeSabb ya kupata injury nying anakaa sana na mpira mguuni kuna sehem unakuta amekabwa na mabeki wawili lakini analazimisha kupita
Nilikuwa na maana hii kwa case ya Ziyech, haya mashindano ni kwa sababu ziko kwa mujibu wa sheria ila zina madhara zaidi badala ya faidi kwenye ligi za nyumbaniMore on Pulisic injury..
“Christian has a slight ankle injury,” USMNT coach Gregg Berhalter said after the game. “We’re going to get more info on it when he goes back to London, the severity of it.”View attachment 1930201
Hazard ni tofauti na Grealish na Pulisic kwenye dribbling. Hazard alikuwa more mobile and fast na hivyo kila mara kupunguza chances za kukwatuliwa. Hao wengine wanakaa na mpira hadi anakwatuliwaMbona Hazard alikuwa anakaa na mpira lakini hakuwa hivyo
Lukaku ni mzima yupo fitTunamuhitaji lukaku hata kwa kipindi kimoja kwenye mechi ya villa msimu uliopita tumekosa magoli mengi sana na tukapoteza mechi kama tutaanza bila lukaku naona yaleyale yakijirudia kwa sababu midfield wetu wanakosa sana clear chances