lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,728
- 26,015
Chelsea wasimuuze au kumtoa tena kwenye mkopo huyu Conor Galagher,
uchezaji wake ni kama wa Mount,
uchezaji wake ni kama wa Mount,
- anajituma,
- anajua kujiposition,
- ni mzuri kwenye set pieace na
- ni mzuri kwenye kufunga na kuassist.
- Huyu ni kiungo mfungaji