One played match, one negative judgement.Usajili wa saul ulikuwa wa kukurupuka...
Kama atletic ilimuona hafai.. Cjui kwann chelsea ilimchukua..
Kwanza anaogopa kuomba mpira... Wala sio accurate..
Uchezaji wa saul leo ni kama wa bakayoko
Nasoma comments Chelsea page insta napata picha inawezekana Saul, Odoi wamevurunda sana.
Joginho na azipi waingie.
Naendelea kufuatilia mechi live score.
Afu mgeni lazima apaniwe ili atolewe kabisa ktk kujiamini.Nahis ugeni wa ligi, premier league iko haitak kukaa n mpira sana nadhan tumpe mda
Leo Anacheza ukabaji au attacking?
Huo upumbavu kaufanya pia yule Kovasic na kutukosesha goli la pili.Duuh huyu saul anachukua mpira vizur anapiga chenga ya kwanza yapili anaporwa mpira, sehem yakutoa mpira yeye anakaa nao mguuni
Saul anahitaji kuzoea ligi, asipewe majukumu makubwa mwanzoni, awe anaingia sub hadi azoee ligiOne played match, one negative judgement.
This is Tanzania where there's every kind of professionals.
Ndio maana napenda watu kama WernerNaam yaani tukitaka Lukaku afunge magoli mengi timu icheze mpira wa kasi. Ule mpira wa kina Harvetz konokono haumfai Lukaku.
Ila leo ni siku ya Kovacic, assist moja na goli moja haijawahi kutokea tangu tumsajiliHuo upumbavu kaufanya pia yule Kovasic na kutukosesha goli la pili.
Leo hatukucheza vizuri, Saul kaharibu, kama sio umakini wa Kipa na Mabeki hasa Silva tungekunywa leoKwanini tumeshinda goli chache ivyo
Bonge la mchezaji mvivu anakabia macho kama kikongweWanaomsifiaga Ziyech hapa, sijui wanatumia vigezo gani kabisa.
Ziyech nii mzuri ila tangu pre season namuaona ana pressure sana ya kufunga badala ya kucheza mpira na hiyo pressure ndio inamuharibia. Kinachmfanya Werner acheza vizuri hiyo presure ameiondoa na kubakia kutengeneza nafasi na kuassists.Wanaomsifiaga Ziyech hapa, sijui wanatumia vigezo gani kabisa.
Yani huyu Lukaku hajapatiwa assists za kutosha, ina maana mfano awe anawezeshwa mara kwa mara kwa umahiri wa ufundi kama ule wa Fabregas, angekuwa ana magoli mengi sana msimu huu.Usajili wa Lukaku tumepigwa, wako wapi wale anti Lukaku
One touch Goal