Ila rotation haitakiwa ifanywe kikasuku, kuna wachezaji wakijua ni lazima watacheza kwa staili hiyo hawatafight, mchezaji anayefight position apendelewe zaidi hata kama kuna rotation. Rotation isiwe gift, yaani kila mchezaji lazima acheze. Hii sio pre-season.
Mfano nisingependa Lukaku afanyiwe rotation hata Mendy
Nisingependa pia Rudiger afanyiwe rotation kwa sababu ana consistency nzuri na sio injury prone
Ningependa hawa wafanyiwe rotation
- Werner
- Havertz
- Pulisic
- Mount
- Ziyech
- Kovacic
- Kante - hasa kwa sababu ni injury prone ila kwenye mechi kubwa apangwe wa kuanza
- Reece
- Alonso na Chilwell ila Alonso naona anafight kweli kweli hadi nawiwa kumpendelea acheze mechi kubwa zaidi
- Chritasnen
- Chalobah - Hasa kwa sababu bado anayo mengi ya kujifunza, na katika umri wake ni rahisi kukosa consistency
- Azpilicueta kwa sababu ya uzee
- Silva kwa sababu ya umri
- Odoi baadhi ya mechi hasa ndogo aanze
Wachezaji hawa kama n i rotation iwe nadra sana tena kwenye mechi ndogo au za makombe madogo kama FA na Karabao hatua za mwanzoni
- Mendy
- Lukaku
- Rudiger