Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Makundi bado Afu Mbona Hilo kundi la kawaida Mzee unaogopa nn sasa[emoji23]
Hahahaha nishaona kundi letu sasa watupe kombe letu tu sasa..

Mimi naamini Chelsea tukikazia hii uefa basi final tena ileee naiyona..

Unakumbuka ile best Revenge tuliyofanya 2011/12 Pale barca 2009 walipita kwa bao la ugenini dhidi yetu japo refaree alikuwa upande wao balaa ..dah Mara paap 2011/12 wakiwa camps nue basi Toress anawalaza na viatu wa Catalonia mpira unaisha 2-2 na hapo tayari tulikuwa tunaongoza 1-0 bao la nyumbani.
Ile game nakumbuka Terry alilimwa red basi mahesabu yakawa yameisha hapo Chelsea tushachomekwa viwili kipindi cha kwanza.
Nikajua second half tunaongezwa zingine mbili mchezo unaisha kumbe ndo revenge ilipoanzia hapo. Torressssss mapema tu dah ..ile ni moja ya game sitoisahau milele aise...

CFC
 
Unakumbuka ile best Revenge tuliyofanya 2011? Pale barca 2009 walipita kwa bao la ugenini dhidi yetu japo refaree alikuwa upande wao balaa ..dah Mara paap 2011 wakiwa camps nue basi Toress anawalaza na viatu wa Catalonia mpira unaisha 2-2 na hapo tayari tulikuwa tunaongoza 1-0 bao la nyumbani.
Ile game nakumbuka Terry alilimwa red basi mahesabu yakawa yameisha hapo Chelsea tushachomekwa viwili kipindi cha kwanza.
Nikajua second half tunaongezwa zingine mbili mchezo unaisha kumbe ndo revenge ilipoanzia hapo. Torressssss mapema tu dah ..ile ni moja ya game sitoisahau milele aise...

CFC
2012
 
Hahahaha nishaona kundi letu sasa watupe kombe letu tu sasa..

Mimi naamini Chelsea tukikazia hii uefa basi final tena ileee naiyona..

Unakumbuka ile best Revenge tuliyofanya 2011/12 Pale barca 2009 walipita kwa bao la ugenini dhidi yetu japo refaree alikuwa upande wao balaa ..dah Mara paap 2011/12 wakiwa camps nue basi Toress anawalaza na viatu wa Catalonia mpira unaisha 2-2 na hapo tayari tulikuwa tunaongoza 1-0 bao la nyumbani.
Ile game nakumbuka Terry alilimwa red basi mahesabu yakawa yameisha hapo Chelsea tushachomekwa viwili kipindi cha kwanza.
Nikajua second half tunaongezwa zingine mbili mchezo unaisha kumbe ndo revenge ilipoanzia hapo. Torressssss mapema tu dah ..ile ni moja ya game sitoisahau milele aise...

CFC
Kweli mkuu Ile game ilikuwa emotional sana
 
1630033162692.png
 
Vs LIVERKUKU

-------WERNER --------------- LUKAKU -------

-------------------- HARVETZ ----------------------

CHILWELL-- JOGINHO--- KANTE --- AZIPI

----- RUDGER --- CHRISTENSEN --JAMES----

Werner & Lukaku kwa pamoja watazidisha mzigo mzito wa mashabulizi kwa mabeki wa liver kuhimili vishindo. Counter attacks kama zote

Kai anahitajika kuongeza Ubunifu wa kushambulia pale mbele. Pia MOUNT yuko vizuri anaweza kupangwa pia kwa ajili ya kupress na counter attacks

Chilwell anahitajika hii mechi kumkaba yule dogo Arnold, Alonso mzito kwenye kukaba na kasi yake ni ndogo dogo atamsumbua.

Rudger ahakikishe anamvunja mguu Salah

James acheze nyuma kupambana na Mane, Mane ana nguvu sana na anacheza kibabe, James atammudu vizuri.

Azipi apandishe mashambulizi kwa kasi.

Christensen sina wasiwasi naye apangwe firmino au jota watapigwa tanganyika jeki.

Engine room/ wachezaji bora wa UEFA (jog & Kante) kama kawaida watakamata pale katikati.

-----WERNER ---- LUKAKU ---MOUNT --

CHILWELL-- JOGINHO--- KANTE --- AZIPI

----- RUDGER --- CHRISTENSEN --JAMES----
Mkuu nimependa sana hiki nlichokiona especially role ya Rudiger na Christensen
 
FIRST AFRICAN GK AT CHELSEA FC.

FIRST AFRICAN GK TO PLAY IN UCL FINAL

FIRST AFRICAN GK TO WIN THE UCL.

FIRST AFRICAN GK TO WIN BEST GK OF THE YEAR.

Edouard mendy in Champions League 2020/21 campaign

✅Most clean sheets for GK in an English team ever
✅Clean sheets in Round of 16, Quarters, Semis (one leg each) and finals.
✅Just 3 goals conceded in 12 games

Unbelievable stats 🔥 😮
 
Hahahaha nishaona kundi letu sasa watupe kombe letu tu sasa..

Mimi naamini Chelsea tukikazia hii uefa basi final tena ileee naiyona..

Unakumbuka ile best Revenge tuliyofanya 2011/12 Pale barca 2009 walipita kwa bao la ugenini dhidi yetu japo refaree alikuwa upande wao balaa ..dah Mara paap 2011/12 wakiwa camps nue basi Toress anawalaza na viatu wa Catalonia mpira unaisha 2-2 na hapo tayari tulikuwa tunaongoza 1-0 bao la nyumbani.
Ile game nakumbuka Terry alilimwa red basi mahesabu yakawa yameisha hapo Chelsea tushachomekwa viwili kipindi cha kwanza.
Nikajua second half tunaongezwa zingine mbili mchezo unaisha kumbe ndo revenge ilipoanzia hapo. Torressssss mapema tu dah ..ile ni moja ya game sitoisahau milele aise...

CFC

Ile mechi ilikuw balaaa hatarii
 
Marina Granovskaia. 👏

Marina Granovskaia really is the Queen of negotiations... 👸

- Leicester wanted £80 million for Ben Chilwell, Chelsea paid £50m.

- Bayer Leverkusen wanted £100 million for Kai Havertz, Chelsea paid £75 million.

- Koundé’s release clause - £68m. Chelsea’s agreed fee for Koundé - £42.7m.

Marina has done it again. An absolute masterclass. 👏🏻👏🏻
 
Nyinyi maboya mnajua weekend tunawapakia vumbi la kongo. Tutawapelekea moto sanaa. Nyinyi ni mitete na sisi ni majogo.

Timu halina hata uwanja afuu mnajiita club kubwa, mende kabisa.Matakataka FC.
We kuku nakukumbusha kuwa jmosi mnacheza na mabingwa wa Ulaya hamchezi na crystal palace,nimeona nikukumbushe ili usije ukatafuta visingizio kuwa ulikuwa hujui
 
Top 3 Voting For Goalkeeper:

1. Edouard Mendy – 286 points
2. Ederson – 154 points
3. Thibaut Courtois – 96 points

Defender Voting:

1. Rúben Dias (Man. City) – 217 points
2. César Azpilicueta (Chelsea) – 115 points
3. Antonio Rüdiger (Chelsea) – 78 points*
4. Marquinhos (Paris) – 78 points*

Midfielder Voting- Top 3:

1. N'Golo Kanté (Chelsea) – 263 points
2. Kevin De Bruyne (Man. City) – 197 points
3. Jorginho (Chelsea) – 149 points

🚫Mason Mount who finished 4th would have needed 134pts to enter the Top 3. He tied with Gündogan on 15pts.

Voting Of Top 3 Coaches:

1. Thomas Tuchel– 378pts
2. Roberto Mancini- 292pts
3. Pep Guardiola- 198pts

Men player of the year award

Jorginho beat De Bruyne by 8pts.

Top 3:

1. Jorginho 175pts
2. De Bruyne 167pts
3. Kante 160pts
 
Marina Granovskaia. [emoji122]

Marina Granovskaia really is the Queen of negotiations... [emoji73]

- Leicester wanted £80 million for Ben Chilwell, Chelsea paid £50m.

- Bayer Leverkusen wanted £100 million for Kai Havertz, Chelsea paid £75 million.

- Koundé’s release clause - £68m. Chelsea’s agreed fee for Koundé - £42.7m.

Marina has done it again. An absolute masterclass. [emoji122][emoji2532][emoji122][emoji2532]
Huyo mama katoka mbali na Chelsea aisee.
Anafanya kazi ya uhakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom