Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyinyi maboya mnajua weekend tunawapakia vumbi la kongo. Tutawapelekea moto sanaa. Nyinyi ni mitete na sisi ni majogo.

Timu halina hata uwanja afuu mnajiita club kubwa, mende kabisa.Matakataka FC.
Bora umewaambia weekend watakimbia hili jukwaa lao.
Sisi sio Arsenal.

YNWA
 
Wanangu wa The blues.. nina cha kushea hapa kuhusu hawa viungo wetu...
1.jorginho-nimemwona kama kiungo mchezeshaji ukitegemea jorginho akabe umeumia na ndio maana combination anayoijalibi bwana Tuchel kumchezesha na kamanda Kova haiwezi kuwa imara.. kwann?
2.Kovacic-huyu bwana ni kiungo mshambuliaji namba 8 alojitolea kusaidia kukaba Bt. Ukabaji wake ni wakusaidia sio kukaba kukaba kweli unanipata sijui? Yeye mara zote ni anatimiza jukumu lake la kushambulia means kwenye 100% yake uwanjani ni ana shambulia 70% na kudefance 30%
3-NG'OLO KANTE.. middle namba 8 hii asee huyu bwana ni kony* anatimiza majukumu kama analipwa mar 2 ya mxhahara wake anashambulia saana anakaba saana na ndio maana wengi wanajuaga kante ni no 6 kumbe No he is a middle 8.. kante anashambulia 100% anakaba na 100% zingine za Jorginho ... Mtazamo wangu
Blues 4 life
Screenshot_20210805-144653_Chrome.jpg
 
Nyinyi maboya mnajua weekend tunawapakia vumbi la kongo. Tutawapelekea moto sanaa. Nyinyi ni mitete na sisi ni majogo.

Timu halina hata uwanja afuu mnajiita club kubwa, mende kabisa.Matakataka FC.
nimekucheka kimbelembele.. Naona upo kwenye jukwaa langu unanchungulia Zidixha manjonjo uwanjan mchumba.. sio unalalamika nakusaliti
We ni wangu kuanzia sasaNB:UNAONGEA NA BINGWA WA UEFA NAONGEA NA NAN? #Liva Puli tu ww ......wana mpeni sabuni akaji***
 
Kuna mwanangu mmoja n shabiki wa blues anaitwa mbwiga ndo ww nn?
 
Maurizio Sarri has revealed that he needs N'Golo Kante to stay close to Jorginho when defending as the Chelsea star is 'not very good in open spaces.'
Inaonekana jorg na Kova watakuwa wanacheza game z kawaida Afu kazikazi jorg na kante.....sasa na km akija Saul ndo balaa...maana Saul nahis kawazidi hao ktk ushambuliaji Afu anaachia makombora Sana jambo ambalo kina jorg n Kova hawawezi sana
 
Ndugu zako arsenal walipiga kelele hivi hivi. Ila saiv wameshona midomo wametulia.
Hawa hawatuliagi, si unamuona yule asiyekuwa na jukwaa tulimbomoa mara tatu kila akija na visingizio vingi
 
Nyinyi maboya mnajua weekend tunawapakia vumbi la kongo. Tutawapelekea moto sanaa. Nyinyi ni mitete na sisi ni majogo.

Timu halina hata uwanja afuu mnajiita club kubwa, mende kabisa.Matakataka FC.
Sijui kwanini watu mnashindwa kuwa na adabu na bingwa wa bara zima la Ulaya, hata hivyo liva.....puli mtapigwa na kitu kizito kichwani
 
Chief huyo Mbona anapata # na game 2. Zilizopita za ligi kacheza huku moja akitoa assist....shida inaonekana hapendezwi na majukumu anayopewa na Diego Simone...inaonekana anachezeshwa sehemu sio maybe maana hata game iliyopita alicheza winger...na km mnavyomjua mifumo ya Diego kuna game moja mpk partey alichezeshwa no.2! ...all in all mi naona ni addition nzuri coz nafasi zake kihalisi ni DM na CM so mtu Kariba kama yake mwenye experience ya kutosha atatusaidia endapo tukimkosa kante ambaye amekuwa km injury prone...au jorgi/ Kova kama tukiwakosa Kwa majeruhi au Kadi nyingi z njano...na NI nzuri Kwa rotation ....nionavyo

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Ronaldo anaondoka Juve kwa sababu ya mzigo wa mshahara au?
 
Bid ya kumnunua Kounde kwa Paundi mil 42 imewasilishwa Sevilla na nasikia wameafiki hiyo bei. Tusubiri tuone
 
Broja afunga mabao mawili kwenye ushindi wa 8-0 waliopata Southampton dhidi ya Newport County jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom