lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Kumbe nyie ndio Manyumbu, mimi sikujuaGoli 5 tumebatisha?
Utakua una matatizo ya akili sio bure.
Kumbe nyie ndio Manyumbu, mimi sikujuaGoli 5 tumebatisha?
Utakua una matatizo ya akili sio bure.
Mpk kaanza Leo huyo atolewi tena ujue hata Tuchel alizuia idea ya dogo kupigwa mkopo...nimeona pia transfer market dogo anacheza pia DM so anaweza akatumika vzuri pindi tukimkosa kante ( what I think)Chalobah akiuzwa au kutolewa mkopo tuandamane hadi darajani, huyu kijana ni mzuri sana, ethic na mentality yake ni ya timu kubwa kama Chelsea, hao akina Ampadu waendelee kutolewa mkopo ila sio huyo aisee
Nilichompendea pia anajua kudefgend na kushambulia na ni atatcking minded CB/DM/Wing-back etcMpk kaanza Leo huyo atolewi tena ujue hata Tuchel alizuia idea ya dogo kupigwa mkopo...nimeona pia transfer market dogo anacheza pia DM so anaweza akatumika vzuri pindi tukimkosa kante ( what I think)
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mbona kuna habari zinasema atakuwepo game ya arsenalLukaku Self isolation siku ngapi?
Kama ni siku 14, ina maana atakosa mechi na Arse8.
Kama yuko isolation kwa siku 14 ina maana hafanyi mazoezi, akijiunga kambini itamlazimu kukosa mechi nyingine ya 3 kujiweka fit?
Its going to be a tough one simply because it's a derby...Ila point 3 uhakikaMechi zimebakia 37 Point 3 secured next week matchday against majirani whats your View
Sahv kaanza mazoezi ya peke yake baadae next week ataanza mazoezi na timu nafikiri n protocol Tu za quarantine....ambaye ana self isolate nafikir n Ruben loftus cheekSikufwatilia hizo news za self isolation. Na navyofahamu self isolation ni 14days
Game na Arsenal atakuepo coach alicomfirmLukaku Self isolation siku ngapi?
Kama ni siku 14, ina maana atakosa mechi na Arse8.
Kama yuko isolation kwa siku 14 ina maana hafanyi mazoezi, akijiunga kambini itamlazimu kukosa mechi nyingine ya 3 kujiweka fit?
Nyinyi kenge jiandaeni kiakili na LIVERPOOL huu msimu.
Huyo jamaa ni mjinga sana anapenda sana kutukana nafikiri ubongo wake umeathirika na bangi pamoja na moshi wa baruti migodolini ni wa kumuhurumia tuKauli yako sio ya kiungwana (nyani) haipendezi katika jamii ya mpira... Watu Kama wewe Ni wakupigwa mawe mpaka kufa
Isolation ni ya siku 5 ambayo inaisha jumapili ya keshoLukaku Self isolation siku ngapi?
Kama ni siku 14, ina maana atakosa mechi na Arse8.
Kama yuko isolation kwa siku 14 ina maana hafanyi mazoezi, akijiunga kambini itamlazimu kukosa mechi nyingine ya 3 kujiweka fit?
Halland kupwa kujaa, binafsi yangu sioni mchezaji paleHalaand tulizingua sana kuto kumsajili
Quarantine ya siku 5 tu, jtatu ataanza mazoezi na wenzakeSikufwatilia hizo news za self isolation. Na navyofahamu self isolation ni 14days
Je dortmund walikuwa tayar kufanya biashara?Halaand tulizingua sana kuto kumsajili
#ASRoma #CFC