Premier League TECHNICAL OBSERVATION
FT: Chelsea FC 3-0 Crystal Palace.
[emoji460]️ M.Alonso.
[emoji460]️ C. Pulišić.
[emoji460]️ T.Chalobah.
[emoji736]3 Goals.
[emoji736]3 Points.
We are done [emoji123]..
Tactically Chelsea FC waliwin game kwenye kila eneo la uwanja defensively, midfield and attacking area. Mfumo wa 3421 imekuwa silaha bora zaidi kwa Chelsea FC, timu inacheza kwa utulivu wa hali ya juu. Technically Chelsea inacheza defending game kwa kutake possession kuanzia chini, ikimtukia Jorginho dimba la chini. Chelsea ni ngumu kuwafungua coz wanacheza kwa kukaribiana sana baina ya mchezaji na mchezaji na kutoka mstari mmoja hadi mwingine wapo close sana na wanazuia kwa ushirikiano.
Crystal Palace walishindwa kujipapatua mbele ya vijana wa Tuchel, mbinu za Patrick Vieira zilishindwa kuwork out coz the Blues walitawala maeneo yote matatu ya uwanja, kwani kila walipojaribu kuanzisha shambulizi walizuiliwa kwa kutovuka mstari wa kati.
Kwenye midfield zone upande wa Chelsea, Jorginho aliboss the midfield kwani alizunguka eneo lote la kati la uwanja alitembea pande zote kulia na kushoto, chini na juu, aliweza kudominte one hilo kwa pasi zake fupi fupi maana kuna muda alitumika kama ukuta kugongeshea mpira (wall pass/one two), aliwavuruga viungo wa Palace kwa movements zake alizokuwa akizifanya, alitengeneza nafasi kwa kupiga mipira mirefu iliyovuka mstari wa mabeki na kutua mingongoni mwao, mtu aliyefaidika na mipira hii ni Marcos Alonso ni kama walijuana vile.
Christian Pulišić alipewa jukumu la kuichezesha safu ya ushambuliaji ya Chelsea "Playmaking role" alicheweza kuwachezesha vema kwani kuna nafasi kadhaa alitengeneza, alipiga through balls, alidribble na kuwin fouls kadhaa.
Chalobah impressive.[emoji119]
Marcos Alonso Wow. [emoji123]
Mount nice. [emoji870]
Werner utulivu bado unamsumbua, kuna muda alipata mpira lakini hakuwa na maamuzi sahihi nini afanye kwa muda huo, finishing bado.