Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"Niliongea na Kai Havertz tulipocheza kipindi timu zetu zilipokutana (Inter Milan na Bayer 04 Leverkusen) kwenye mchezo wa Europa league, nilimwambia aje Chelsea kwa hiyo ni watu ambao tunajuana kabla".
(Romelu Lukaku).
 
Safi sana Chifu, unaliishi jukwa letu vizuri sawa na majukwaa mengine.

Hivi yule anayerushaga hizi video za magoli ktk timu zingine ila hapa harushi alifanywaga nini hasa na huu uzi hadi asiwe anaziweka humu?
Wanaichukia ze blues Tu unakuta hata ni nyumbu mmoja Tu au kuku kishingo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hatupokeio mshiko wote kwa Abraham

"Roma are only set to pay €5m (£4.25m) for the striker this summer, with a further payment of €20m (£17m) expected in various instalments by the summer of 2024.

The club will then pay-off the final €15m (£12.7m) owed to Chelsea ahead of the 2024/25 campaign"
 
TUJIKUMBUSHE
2008 after UCL finals in Moscow

EUROPEAN AWARDS
👉Best Player....Christiano Ronaldo
👉Best Midfielder.....Frank Lampard
👉Best Defender.....John Terry
👉Best Goalkeeper.....Petr Cech
 
TT kawakataa kabisa hawa wachezaji na ndio maana hawana namba Chelsea
  1. Danny Drinkwater - Alihamia kutoka Leicester city 1 Septemba 2017 kwa ada ya €41m - Mkataba wake umeisha
  2. Tiemoue Bakayoko - Alihamia kutoka Monaco 31 Agosti 2019 kwa ada ya €42.5m - Mkataba wake naisha 2022
  3. Ross Barkley - Alihamia kutoka Everton 5 Januari 2018 kwa ada ya €17.6m - Mkataba wake naisha 2023
Wote watatu waliigharimu timu kiasi cha takriban €100m. Sasa hichi kiasi ni kama imepotea bure maana hata hawauziki na wakiuzwa ni chenji za kama mil 30 wote
 
Chelsea FC business:

WALIONGIA /INS:

➡️Romelu Lukaku - £97.5M
➡️Marcus Bettinelli - Huru.

Jumla = £97.5M

WALIOTOKA/OUT.

⬅️Fikayo Tomori - £25M
⬅️Marc Guehi - £20M.
⬅️Livramento - £5M.
⬅️Victor Moses - £4M.
⬅️Lewis Bate - £1.5M.
⬅️Simue - £1.5M
⬅️Olivier Giroud - £1M.
⬅️Tammy Abraham - £36M.

Jumla = £94M.

Na bado mauzo yanaendelea.

Marina on the wheel..
 
Lukaku first training
20210817_184228.jpg
 
Since manchester United last won the premier league..
-Chelsea have won UEFA Super cup
-Chelsea have won champions league
-Chelsea have won Europa league (2 times) .
-Chelsea have won FA cup.
-Chelsea have won premier league (2 times)
-Chelsea have won english league cup..
#footballchallenge
Tell the world premier league is Blue !!
 
Since manchester United last won the premier league..
-Chelsea have won UEFA Super cup
-Chelsea have won champions league
-Chelsea have won Europa league (2 times) .
-Chelsea have won FA cup.
-Chelsea have won premier league (2 times)
-Chelsea have won english league cup..
#footballchallenge
Tell the world premier league is Blue !!
I absolutely agree with you

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea FC business:

WALIONGIA /INS:

➡️Romelu Lukaku - £97.5M
➡️Marcus Bettinelli - Huru.

Jumla = £97.5M

WALIOTOKA/OUT.

⬅️Fikayo Tomori - £25M
⬅️Marc Guehi - £20M.
⬅️Livramento - £5M.
⬅️Victor Moses - £4M.
⬅️Lewis Bate - £1.5M.
⬅️Simue - £1.5M
⬅️Olivier Giroud - £1M.
⬅️Tammy Abraham - £36M.

Jumla = £94M.

Na bado mauzo yanaendelea.

Marina on the wheel..
Pesa ya Abraham inalipwa kwanza mil 5, zingine kidogo kidogo hadi msimu wa nne wa mkataba wake. Ndivyo walivyokubaliana kwa sababu ya ukata
 
Toa Zouma hapo.
Zouma alifanya vizuri kipindi kile cha Lampard baada ya Corona ila alipokuja Tuchel akarudi kwenye default. Anakosa concertation hasa wakati wa counter. Kwa timu zenye kutia pressure kwenye defense Zouma hafai. Mshiko ukitolewa auzwe tu
 
Guardiola has now lost more matches against Chelsea in all competitions than against any other club (eight).
This was his seventh loss against Chelsea while managing City.
Notably, Guardiola has lost his last three in a row against Chelsea.
The only other teams that Guardiola has lost three in a row against in his managerial career are
Real Madrid (2012-14) and Liverpool (2018).
1629249658444.png
 
Michuano ya Klabu Bingwa ya dunia inayotambulika kama FIFA Club World Cup kwa mwaka 2021 itaanza tarehe 9 December na kumalizika 19 December.

Chelsea kama Bingwa wa Ulaya atacheza mechi ya kwanza ya Nusu fainal na endapo akishinda atafuzu kwenda fainal.

Michuano hiyo inazishirikisha klabu 6 ambazo ni mabingwa wa Ulaya, mabingwa wa Afrika, mabingwa wa Amerika ya Kusini Mabingwa wa Asia na mabingwa wa Amerika ya Kaskazin na Mabingwa wa Oceania.
Chelsea FC
 
Michuano ya Klabu Bingwa ya dunia inayotambulika kama FIFA Club World Cup kwa mwaka 2021 itaanza tarehe 9 December na kumalizika 19 December.

Chelsea kama Bingwa wa Ulaya atacheza mechi ya kwanza ya Nusu fainal na endapo akishinda atafuzu kwenda fainal.

Michuano hiyo inazishirikisha klabu 6 ambazo ni mabingwa wa Ulaya, mabingwa wa Afrika, mabingwa wa Amerika ya Kusini Mabingwa wa Asia na mabingwa wa Amerika ya Kaskazin na Mabingwa wa Oceania.
Chelsea FC
Another one
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom