Kwa historia ya EPL timu ikipoteza mchezo wa kufungua dimba, ni ngumu sana kuja kushinda ligi kwa sababu ya kisaikolojia, City watapoteza mechi nyingi msimu huu, timu zinazojua kupata ushindi kup[itia counter zitachukua point sana kwa city.
Last season saton walitembeza moto mpaka kuongoza league zaidi ya wiki mbili ...city tulikuwa nafasi ya 16
Spurs akaongoza league mpaka nikajua anaenda kuchukua ,walikuwa wanachuana na Liverpool ile game ,kama mnakumbuka ,hadi firmino akafunga na Liverpool kukaa kieleni huku media zote zikisema Liverpool anamotoo mkali anaenda kunyanyua ndoo ....kila mtu aliona kilichotoea .....
Liverpool akaongoza league mpaka kila mtu akasema anaenda kuchukua EPL Mara ya pili ...muda huo city tunakula vipigo ,kula goli tano na lecister city ...
West ham alikuwa hakamatiki kabisa ...
Lecister city alikuwa ni tishioo ,hakutoka top four mpaka April ,na hakuna aliyekuwa anajua kama angemaliza league out of top four .....
Man utd akaongoza league zaidi ya wiki 3 ....UK media zote walisema city sio title contender ...
Nawakumbusha tu mpaka chrismas man city tulikuwa hatujakaa pale juu ...Christmas Liverpool alikuwa akaongoza league ,na kwa data za EPL zikawa zinaonesha anayeongoza league chrismas ndio anabeba EPL ...
City alivoongoza league ,gari liliwaka lilikuja kuzima may ,epl imeshatua etihad....
Kwa watu tunaofuatilia Mpira tunajua what is epl ,and how is going ,...
Hawa mashabiki vilopolopo wa naoangalia Mpira liverscore na kuja kuvimba hapa jf ....
Keep watching ,nasema keep watching this is epl ....