Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,621
JORGINHO CAN'T STOP WINNING THIS YEAR 
EURO 2020
Champions League
Super Cup

EURO 2020
Champions League
Super Cup 
EURO 2020
Champions League
Super Cup Kepa huwa ni shujaa kwenye penalty..Vipi unajisikiaje kwa kepa kuibuka shujaha
Uwaga namkubali sana kwenye sector ya penaltyKepa huwa ni shujaa kwenye penalty..
A.K.A Mr Panenka ..amebeba all European Cups..
Huu mzigo mbona ni wetu hata mamlaka za ufamle wa mbingu zinaelewa.Bado world cup
London always blue![]()
Anatafuta namba kwa bidii zoteIla huyu chalobah ni mtu
Emerson pia!
Jiandae kubadili na kauli hii...
Jorginho amecheza fainali zote tatuEmerson pia!
Kombe huchukua timu nzima sio wachezaji 11 tuJorginho amecheza fainali zote tatu
Unaendeleaje na hali.?Narudia tena utabiri msimu huu Tuchele wenu ataboronga ile mbaya hizi game zake za bahati nasibu ka mali ya ndagu hatoboi walai msimu huu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
aukuchekigi game ya Frankfurt ndo maana ila kama ulichek auna aja ya kuogopa ila mendy kwenye penalt n degea mweusNilimtukana TT baada ya kumuingiza Kepa


Mendy asingedaka penati hata moja mbona hilo liko wazi?Nilimtukana TT baada ya kumuingiza Kepa
Mendy na KepaHivi man of the match ni nani ??