Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Musije muka kimbiana humu!Na hatuwatuhusu kwenda nao penalty, mapema tuu tunachukua kakikombe kakutupatia moto wa msimu
Villareal sio watu wazuri, ohoo!
Musije muka kimbiana humu!Na hatuwatuhusu kwenda nao penalty, mapema tuu tunachukua kakikombe kakutupatia moto wa msimu
Kwa manure na ArsenalMusije muka kimbiana humu!
Villareal sio watu wazuri, ohoo!
Narudia tena, musije kimbiana humu, ohoo!Kwa manure na Arsenal
Kwa manure na ArsenalNarudia tena, musije kimbiana humu, ohoo!
Kuna kiumbe kinaitwa Moreno, hana maana kabisa.
Hapo Kwa pulisic Bora angekaa odoiKuna uwezekano line up ikawa hivi
Werner ----------------- Havertz ------------------------ Ziyech
Chilwell--------------Kovacic -----------Kante-----------------Pulisic
Rudiger ------------------ Christensen-----------------James
Mendy
Vilabu vilivyotumia hela za usajili nyingi ndani ya misimu mitatu
Man C €438M
Barca €422M
Man U €403M
Juv €383M
Atlético €369M
Aston V €366M
Real €355M
Arsenal €329M
Inter €314M
Chelsea €292M
Monaco €287M
Napoli €287M
Tottenham €284M
Sevilla €248M
Bayern €244M



pesa yote aliyotumia manure hawana hata kikombe cha udongoaseno na manua kuna upigaji wa waz wazVilabu vilivyotumia hela za usajili nyingi ndani ya misimu mitatu
Man C €438M
Barca €422M
Man U €403M
Juv €383M
Atlético €369M
Aston V €366M
Real €355M
Arsenal €329M
Inter €314M
Chelsea €292M
Monaco €287M
Napoli €287M
Tottenham €284M
Sevilla €248M
Bayern €244M
Liverpool €0Vilabu vilivyotumia hela za usajili nyingi ndani ya misimu mitatu
Man C €438M
Barca €422M
Man U €403M
Juv €383M
Atlético €369M
Aston V €366M
Real €355M
Arsenal €329M
Inter €314M
Chelsea €292M
Monaco €287M
Napoli €287M
Tottenham €284M
Sevilla €248M
Bayern €244M






Tuko pamoja mkuu, kuhakikisha blouse inavuliwa pale darajani.Walee wa Villarreal tujuane mapema kabisa ....
Pigaaa hawa kuku wa blue bahariiiiiiiii
Sisi hatuna wachezaji kama akina Rashid makame ..hivyo usitarajie hilo suala..Musije muka kimbiana humu!
Villareal sio watu wazuri, ohoo!
Mcheki huyu takataka ..sisi hatuna cha kupoteza ..ninyi mlilambwa lambwa na Leicester subiri muone kazi Leo..Walee wa Villarreal tujuane mapema kabisa ....
Pigaaa hawa kuku wa blue bahariiiiiiiii
Daah hao beki sasa 😂😂😂
Hichi kikosi hichiii ..mh! Tuchel amewaza nini kumuamini Challobah??
Ngoja tuoneeHichi kikosi hichiii ..mh! Tuchel amewaza nini kumuamini Challobah??