Bado upooo
Bado upooKepa Arizabalaga kaingia ili akafungwe vizuri
Hello!
Tulikuwepo sana
Rudia mara ya mwisho basi!Narudia tena utabiri msimu huu Tuchele wenu ataboronga ile mbaya hizi game zake za bahati nasibu ka mali ya ndagu hatoboi walai msimu huu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Asante japo safari yenu imekuwa ya taabu sana.Hello!
Usiku mwema. Napita tu kuwasalimia mliotutembelea leo!
Epl nilimanisha mjipange kwa misimu mi 3 .Rudia mara ya mwisho basi!
Vipi unajisikiaje kwa kepa kuibuka shujahaKepa Arizabalaga kaingia ili akafungwe vizuri