Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Ingia Google andika HESGOAL kisha fungua utaona mechiJamani mwenye link wengine tunafatilia mpira tupo safarini tafadhali
Ingia Google andika HESGOAL kisha fungua utaona mechiJamani mwenye link wengine tunafatilia mpira tupo safarini tafadhali
Ingia Google andika HESGOAL kisha fungua utaona mechiHakuna mtu mwenye link ya kuangalia mechi hii??
Achana na juani, kuna juan mata sasa..Mume tangulia na baiskel ya barafu juani.
Ziyech out! Shoulder injury.
Miezi kadhaa njeNimeumia sana kwa kupata majeraha, Ziyech alikuwa ameanza kuja vizuri.
Jamani mwenye link wengine tunafatilia mpira tupo safarini tafadhali
Hakuna mtu mwenye link ya kuangalia mechi hii??
Tangu ametoka Ziyech tu wamepotea sana. Hata hivyo wanabahati sana hawa 2 zimegonga postKubabake zenu amkeni nyinyi kenge, hilo goli mumefungwa kama la kwenye PES
Yaan wamekoswa koswa sana na wanachezewa nusu uwanjaTangu ametoka Ziyech tu wamepotea sana. Hata hivyo wanabahati sana hawa 2 zimegonga post
Timu la maplastic fans tayari mumeshaingia mapangoni.
Kule kwenye uzi wa wanaume uleisema leo mnawapiga tatu hawa, vipi huko?Achana na juani, kuna juan mata sasa..

Kaa kwa kutulia sisi ndo mabingwa wa ulayaTimu la maplastic fans tayari mumeshaingia mapangoni.

