BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,946
- 11,812
Sasa unafikiri pesa inatolewa kindezi tu. Sisi ukiona tuna toa pesa ya maana ujue mjiandae kiakili. Ila ninyi hata mtumie vipi pesa wala hatuogopi na wala hamzungumzwi sana kwasababu ni katimu kadogo ambako kanaotea otea tu.Hamna pesa, period
Liverpool mkijitahidi sana ninyi ni wala dagaa
Hamuwezi ingia duka au supermarket Chelsea wanaenda kufanya manunuzi
Mlibahatisha kwa VVD na Salah na Mane na Alisson sio kila siku mtabahatisha hivyo, hadi miaka 30 tena
