Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

EPL imebadili sheria zake
Sasa benchi litakuwa na wachezaji 9 badala ya 7 ila watakaoruhusiwa kucheza ni watatu tu
Subject to Rule L.28A, in any league match a club may include in its teamsheet up to nine substitute players of whom not more than three may take part in the league match subject to the conditions set out in Law 3 of the Laws of the Game.
 
Tammy Abraham mjinga kweli kweli
Roma wamekubali kumsajili ila yeye eti anasubiri Arsenal akaue kipaji chake huko kama akina Saka wanavyojifia taratibu/ Mwenzao Salaha kaenda Italy akarudi hot cae
Lukaku kaenda italy akarudi bei mbaya
Tammy naye akienda Roma atapata muda wa kutosha kuboresha kiwango chake, whose kows anaweza nnuliwa tena na Chelsea kwa mil 140
1628607452360.png
 
Tammy Abraham mjinga kweli kweli
Roma wamekubali kumsajili ila yeye eti anasubiri Arsenal akaue kipaji chake huko kama akina Saka wanavyojifia taratibu/ Mwenzao Salaha kaenda Italy akarudi hot cae
Lukaku kaenda italy akarudi bei mbaya
Tammy naye akienda Roma atapata muda wa kutosha kuboresha kiwango chake, whose kows anaweza nnuliwa tena na Chelsea kwa mil 140
View attachment 1887412
Dogo ana akili na ana jicho la kuona mbali

Mimi kama mratibu wa gunner kutokea afrika mashariki namkaribisha sana
 
Tuchel has identified Lukaku as the striker with the “right profile” to get his team firing as a collective attacking unit.

“He has the kind of profile that loves to play with his back towards the opponent’s goal, who likes to hold the ball and will create space for Kai Havertz, Timo Werner, Christian Pulisic, who love to play around him.

“This is the kind of profile we don’t have in our squad right now and are looking for.

“If it is possible to sign him, we will try to sign him. If it is not possible to sign a player, we will find other solutions,” Tuchel told Sky Sports.
 
Hamna mchezaji hapo, ngoja mupigwe.
Mwenyewe anaishobokea arsenal, acha tumuweke tu, pale arsenal ndio MTAKUJA

wote tulikua mashabiki wa arsenal, matumizi ya bangi ndio imewafanya wengine muwe man u, mbaya zaidi wengine hadi Chelsea
 
Tammy Abraham mjinga kweli kweli
Roma wamekubali kumsajili ila yeye eti anasubiri Arsenal akaue kipaji chake huko kama akina Saka wanavyojifia taratibu/ Mwenzao Salaha kaenda Italy akarudi hot cae
Lukaku kaenda italy akarudi bei mbaya
Tammy naye akienda Roma atapata muda wa kutosha kuboresha kiwango chake, whose kows anaweza nnuliwa tena na Chelsea kwa mil 140
View attachment 1887412
Huyu dogo tumuuze hata ikwiriri huko akachimbe dawa..asitusumbue
 
Sure kaka, Wanadamu bana wakikuchukia hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi.

Hakuna shabiki yeyote hapa wa Chelsea ambaye amechangia hata Tsh. 100/= kumnunua Lukaku sasa inakuuma nini?

Iache kumuuma Abromovich na familia yake ije ikuume wewe kazi yako kushabikia timu?

Abromovich alitoa pesa nyingi kwa Torres, Shevchenko, Morata, Batshuayi, Keppa wamevurunda ile mbaya, boss haijamuuma bado anaendelea kutoa pesa.

Ina maana bodi ya Chelsea fc iliyosheheni maprofessional wa kila aina wamekaa chini wakajadiliana mpaka wakaamua kuidhinisha mabilioni kumsajili Lukaku ni wajinga?

Washambuliaji watatu tuu waliokuwa sokoni wa caliber ya Chelsea LUKAKU, HAALAND, KANE.

Sakata la KANE mnaliona wenyewe

Haaland Dortmund wanataka 175M + 50M (wakala na mzazi) = 205M, mshahara sio chini ya 400K per week. ISITOSHE HANA MAPENZI NA THE BLUES

Tuacheni unafiki, tuweni na mapenzi ya dhati kwa club yetu. Tuisupport kwa kila namna, usajili wowote ni kamari.

Zaidi wana BLUES tunayo bahati sana kuwa na tajiri anayependa timu yake anapenda mpira, anatoa mabilioni ya pesa kila msimu kusajili wachezaji.

Arsenal na Liverpool wanatamani wangekuwa na tajiri aina ya Abromovich waache kununua wachezaji wa mafungu au mpaka wauze mchezaji ndio wanunue mchezaji.

Blue is the colour, Football is the Game
Our aim is winning the match
 

'He's a beast'

You can see in his body type that he is a beast," Rudiger said in Belfast. "He's someone who is very strong and I think also he showed it in Italy over the past two years. He did very well over there. Also for his national team. He's a goalscorer and for me a top striker.

"I cannot talk about someone who is not a Chelsea player because I don't know anything," he added. "I think I said everything about him about his strengths and that he is a top class striker who loves to score goals."

- Rudiger lauds Lukaku's talent

 
👁TECHNICAL OBSERVATION:

Nini athari ya ujio wa Romelu Lukaku ndani ya Chelsea FC hasa kwenye front line. Nani ataenda kuathirika zaidi kimfumo.
 
👁TECHNICAL OBSERVATION:

Nini athari ya ujio wa Romelu Lukaku ndani ya Chelsea FC hasa kwenye front line. Nani ataenda kuathirika zaidi kimfumo.
My take
Baadhi ya wachezaji kama Timo werner hawatapata nafasi ya kudumu kikosini.

Lakini pia Kai Havertz hatocheza tena False 9 bali atakuwa akicheza kama center attacking midfielder au winga,Hii itapelekea baadhi ya wachezaji kama Hudson Odoi,Pulisic,&Ziyech kupambania hiyo nafasi.

Athari nyingine ipo kwenye mfumo;kwa mtazamo wangu naona kocha TT ataanza kutumia mfumo wa 4-3-3 badala ya ule wa 3-4-2-1,3-4-1-2 au 3-4-3 ili kuwapa nafasi Mawinga wawili &striker mmoja.

Kwa upande wangu tutegemee kikosi cha kudumu chenye👉
Mendy,James,Rudiger,T.silva&Chilwell.

Kante,Jorginho&Mount.

Pulisic Lukaku Havertz.
Mfumo 4-3-3.
 
Mwenyewe anaishobokea arsenal, acha tumuweke tu, pale arsenal ndio MTAKUJA

wote tulikua mashabiki wa arsenal, matumizi ya bangi ndio imewafanya wengine muwe man u, mbaya zaidi wengine hadi Chelsea
Big fat idiot kabisa wewe. 😂😂😂😂
 
Dili la Messi halikuchukua hata siku nne lakini Lukaku wetu more than 14 days, WHY??
 
My take
Baadhi ya wachezaji kama Timo werner hawatapata nafasi ya kudumu kikosini.

Lakini pia Kai Havertz hatocheza tena False 9 bali atakuwa akicheza kama center attacking midfielder au winga,Hii itapelekea baadhi ya wachezaji kama Hudson Odoi,Pulisic,&Ziyech kupambania hiyo nafasi.

Athari nyingine ipo kwenye mfumo;kwa mtazamo wangu naona kocha TT ataanza kutumia mfumo wa 4-3-3 badala ya ule wa 3-4-2-1,3-4-1-2 au 3-4-3 ili kuwapa nafasi Mawinga wawili &striker mmoja.

Kwa upande wangu tutegemee kikosi cha kudumu chenye👉
Mendy,James,Rudiger,T.silva&Chilwell.

Kante,Jorginho&Mount.

Pulisic Lukaku Havertz.
Mfumo 4-3-3.
Wewe inaelekea humjui TT kabisa

TT sio FL wa kukariri mfumo

Atawachezesha wote ili wapinzani wasije kwa kukariri

Main formation itaendelea kuwa 3-4-3 na derivatives zake ambazo ni
3-4-2-1,
3-4-1-2,
3-5-2
Pia TT usishangae akitumia hizi formation
4-2-2-2
4-3-3
4-3-2-1
4-3-1-2

Na katika hizo zote kila mchezaji atafit in Lukaku akiwa main man kule mbele

Tukumbuke pia Lukaku anaweza kucheza kama winga na naamini baadhi ya mechi bado Havertz atachezeshwa kama false no 9 iwe ni kwa tactical reasons au kwa startegical reaosns
Kumbuka pia kwenye baadhi ya formations nilizotaja hapo juu zinahitaji two striker ambao aidha ni Lukaku na Havertz au Lukaku na Werner

Kwa kuhitimisha TT ni kocha mwenye kupenda kubadili sana mifumo na formations ili wapinzani wasije wakazoea kama wakati wa FL
 
Baadhi ya Facts Usiyoyajua kuhusu Lukaku

Kumbe Conte alimpenda Lukau tangu akiwa Juve na inasemekana kuwa Conte alitoka Juve baada ya Juve kukataa kumsajili Lukaku
Alipokuja Chelsea alipush hivyo hivyo timu imsajili Lukaku lakini Manure wakatuzidi kete.

Kuhusu kwa nini Lukaku hakufanya vizuri Manure United

  1. Lukaku alizidisha uzito hadi kilo 100 na hiyo ilisababishwa na matatizo kwenye metabolism system yake kitu ambacho madaktari wa United walishindwa kuhandle
  2. Lukaku alisakamwa sana ndani na nje ya benchi la ufundi, kuna baadhi ya wafanyakazi walikuwa wakivujisha taarifa zake kwenye media na kwa wale pundits manazi wa United kama akin a Garry Neville ambao daima ndio wanaoiharibu United kwa chadomo lao Tangu Fugusson aondoke. Lukaku alishambuliwa sana hadi akahizi hana usalama pale na ndio chanzo chake cha kuhama united. Kule Inter alikutana na kocha anayemuamini na madaktari wa Inter wakamuanzishia diety ambayo ilipunguza uzito wake hadi akarudi normal na ndio ikampa tena uwezo wa kufunga magoli kama beast yaani kama Mnyama
Nini cha Kufanya akija Chelsea!

Tusiingie kwenye ujinga waliofanya United wa kumhukumu mtu bila ya kumsaidia
Tufanye kama alivyofanya Conte, kumpenda na timu ya madaktari kuhakikisha tatizo lake la kwenye metabolism system haitamuingiza tena kwenye heavy weight na kuwa over weight tena
Atengenezewa mazingira rafiki kuwa anapendwa na nashukuru Mungu Chelsea hatuna Pundits wajinga kama wa United

Karibu Lukaku nyumbani tena


Kazi aliyo nayo Lukaku sasa ni kuendeleza aliyofanya Inter ya kuwaproove akina Neville kuwa LUKAKU NI BEAST tofauti na wao wanavyomuona

 
Baadhi ya watu maarufu na wenye kujua soka watoa maoni juu ya Lukaku

Shearer said.
"I've been very, very impressed with him.Pace, power, touch, strength, technique;bringing people into the game and he's played that role very well because he's been asked to do a different one - to pull out wide a little bit to create space for [Eden] Hazard or [Kevin] De Bruyne,"

Tuchel said:
“Romelu is one of the guys like [Erling] Haaland at Dortmund, [Robert] Lewandowski at Bayern Munich, Harry Kane at Tottenham, who is a real No9 who loves to score and who has a presence in the box. That is not a secret. The sentence is easy to repeat for any coach in the world.

“He is the kind of profile we’re looking for, and if it is possible to convince agents and clubs, we will do our best.”

Tuchel told Sky Sports.
“He was the kind of profile who likes to play with his back to goal, who likes to hold up balls, who creates space for Timo Werner, Kai Havertz, Christian Pulisic, who is ready to fight physically with defenders.

Gary Lineker said:
"Lukaku is a World class goal scorer"

Rudiger on Lukaku

"He is a beast"
"He's someone who is very strong and I think also he showed it in Italy over the past two years. He did very well over there. Also for his national team. He's a goalscorer and for me a top striker"
 
Huu uzi ni wa The Blue 'BABA" yako, tuna UCL dume la mbegu Ulaya mzima
Ndio akili za watoto hizi sasa wewe UCL unamtambia nani? Labda Arsenal. Maana ukitaja mabingwa wa 3 wa UCL wa muda wote huwez kuacha kumtaja LIVERPOOL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom