Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa kama humfaham utajua vipi moto wake, ni vile tu alikuwa anachezea championship ndio maana hafatiliwi. Sasa subiri balaa lake ligi kuu
[emoji23] huyo Ivan hata simfahamu, angekuwa moto kama Haaland nadhani vilabu vingekuwa vinasukumana kupata sign yake
 
20/21
Ivan kwa umri wa miaka 25 bado hajavutia vilabu vikubwa uwezo wake utakuwa wa kawaida kuzifunga timu za madaraja ya chiniView attachment 1880854View attachment 1880855View attachment 1880856
20210805_025235.jpeg
20210805_025123.jpeg
 
Abraham ni takataka tu, Subiri moto wa Toney msimu huu. Abraham timu zinamtaka sababu amepata nafasi ya kucheza ligi kuu sasa subiri mwishoni mwa msimu uone vile Toney atagombaniwa. Ata Abraham aliwika kipindi akiwa championship
Leo tammy anapata interest kutoka premier league clubs na atalant wakat huyo toney sidhan hata kuna tim inamuhitaj

Kwangu ni bora niwe na tammy kuliko huyo toney,
 
Hawa wajinga watapigwa ban wananunua wachezaj kwa bei ya juu alafu wao hawauzi
This is our city ,money talk ,..

Sio nyie mafala ,hamjui mnataka nini ,halaand kawashinda ,lukaku kawashinda ,sijui mnataka nini..

Timu masikini tu ,kaeni pembeni mpira umewashinda ,ubahili tu ,mmekaa kiboyaboya utafikili hayajachukua CL ,falaa sana hii timu
 
Hivi ni mm tu ama kuna wengine? Yaani sijawahi vutiwa na Kane huwa naona ni mbabaishaji tu, straika ni Halaand, Lewandowski ama Toney.
Basi una matatizo, shabiki yeyote asiyejua ubora wa Kane mimi namuona ana matatizo, Hata Haaland anaweza kuwa flop bado mdogo sana hatujui kama atakuwa na consistency kama ya Kane
 
Taarifa kutoka nchini Ureno zinasema mtoto wa nyota wazamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ujerumani, Michael Ballack anayejulikana kwa jina la Emilio Ballack amepata ajali na kupoteza maisha usiku wa kuamkia leo.

Kusini mwa jiji la Lisbon nchini Ureno karibu na nyumba ambayo Michael Ballack aliinunua miaka kadhaa iliyopita ndipo mtoto huyo wa kiume alipopata ajali ya pikipiki na kupoteza maisha akiwa na umri wa miaka 18.


Pole zimwendee gwiji Michael Ballack na mwanae apumzike kwa amani!
#updates
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom